Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

isn't great as anyone can think of.
tutakua na mechi TISA ndani ya mwezi mmoja tu
tar 1, 4, 9, 13, 16, 20, 20, 23, 27, 30

Its not looking good at all
Mbona nahesabu 10

Halafu hizo mechi mbili zza siku moja ni zipi? Hizo za tar 20
 
13c7a61572b913ea5f59f3a6e5fa4a34.jpg
 
Mou ana ubishi wa ajabu sana yaani leo ilitakiwa Mata na Mikhitaryan waanze halafu ndio aingie madenge
 
Mourinho ni mpuuzi kweli nadhani anataka tubaki namba saba maana kila siku anatukosea kwa selection ya kikosi chake
 
Back
Top Bottom