Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mourhnio awa mbogo ligi ya EPL haijali Europa au Champions ligi

Screenshot_2017-03-18-17-59-27.png
 
Kwa hiyo Mkuu umeona Sammata siyo Mtu kwani Baada ya UEFA Cup kikombe kinachofuata kwa ukubwa ni hicho kwa Ngazi za vilabu Sina uhakika ila Nadhani hata Zawadi zao hazina tofauti Kubwa.

Faida nyingine Mshindi wa Europa cup atakutana na Mshindi wa UEFA cup Hakuna timu Ndogo Ulaya mkuu

Totenham anasumbua pale Epl ila muulize UEFA pamoja na Europa cup kaishia wapi.

Acha tujipange kwa ajili ya hao Wabelgiji.
Bingwa wa fa ana pesa kuliko bingwa wa europa
 
Ohhhh baba wa mbinguni tumezunguka mlima huu wa sita vya kutosha kesho twaomba iwe zamu yetu kutoka huu mlima.Nakushukuru baba maana sasa umenisikia.Ameeen
Hahahaha. Amen. Hopefully we'll climb up the table
 
Any update wadau kuhus timu ,majeruhi mpaka sasa ....GGM
Team News

Manchester United

Zlatan Ibrahimović (suspension), Paul Pogba (hamstring injury) and Ander Herrera (suspension) ruled out. Wayne Rooney, Marcos Rojo, Bastian Schweinsteiger, Anthony Martial and Daley Blind doubtful.
 
Back
Top Bottom