Nifah
Platinum Member
- Feb 12, 2014
- 34,416
- 82,368
Umeyafikisha hadi humu? HahahaaaaaaAfu msimu unaisha hawanda ndoo!
[emoji23][emoji23][emoji23] ! Tushapangisha mtu sisi ile nyumba no. 6...
Man u si wa sport sport
Umeyafikisha hadi humu? HahahaaaaaaAfu msimu unaisha hawanda ndoo!
[emoji23][emoji23][emoji23] ! Tushapangisha mtu sisi ile nyumba no. 6...
Man u si wa sport sport
Happy birthday to youIts my birthday and this is what I needed for a present.
Huku umekuja kutafuta machozi sasa...usikimbieUmeyafikisha hadi humu? Hahahaaaaaa
Leo nina rahaaaa,wala hakuna cha kunitoa machozi.Huku umekuja kutafuta machozi sasa...usikimbie
[emoji23][emoji23][emoji23]
Eewh! Kisa na mkasa? Au umehama chamaLeo nina rahaaaa,wala hakuna cha kunitoa machozi.
Bashite saga ndio habari ya mjini,mambo ya mpira nimeyapa likizo [emoji12]Eewh! Kisa na mkasa? Au umehama chama
Nashuru kwa kuja!Umeyafikisha hadi humu? Hahahaaaaaa
Wale Wes Brom ndio habari ya mjini London!Bashite saga ndio habari ya mjini,mambo ya mpira nimeyapa likizo [emoji12]
Nilijua tu hahahaaaaaaNashuru kwa kuja!
Hahaaaa!Bashite saga ndio habari ya mjini,mambo ya mpira nimeyapa likizo [emoji12]
Hahahaaaaaa una rahaje sasa? Utanenepa wiki hii kwa raha.Wale Wes Brom ndio habari ya mjini London!
[HASHTAG]#WengerOut[/HASHTAG]
Aaah! Naangalia tuu mimiBashite saga ndio habari ya mjini,mambo ya mpira nimeyapa likizo [emoji12]
Hehehehe mkuu imekua ugomvi?Naomba ukiona comment yangu ipite tu.
Yaani hapa naangalia man city vs liverpool kama wewe unavyokula ubuyu....🙂🙂🙂Hahahaaaaaa una rahaje sasa? Utanenepa wiki hii kwa raha.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Haki mimi tokea jana nimeongezeka kilo,nina raha sana.Yaani hapa naangalia man city vs liverpool kama wewe unavyokula ubuyu....🙂🙂🙂
Siku ubuyu ukipigwa marufuku utakonda kama chelewa![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Haki mimi tokea jana nimeongezeka kilo,nina raha sana.
Enjoy mkuu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Ujiandae kuja kunicheki hosp,hakuna namna nitaweza kusurvive.Siku ubuyu ukipigwa marufuku utakonda kama chelewa!