ikhatibu
JF-Expert Member
- Nov 14, 2013
- 2,491
- 2,477
Hilo si tatizo mwisho wa siku tunaangalia pointi 3 tuTulibanwa mbavu
Hilo si tatizo mwisho wa siku tunaangalia pointi 3 tuTulibanwa mbavu
Naona kama Liver afungwe tumshushe chiniMancity v. Liverpool saa moja unusu leo tutajua hii top four mwelekeo wake baada ya mechi.
Binafsi ninwaombea doroooo
Sio siri mkuuEngland kumejaa fitina sana.
Nimehama nimehama baada ya kuona balaa limezidi.....majirani zangu hawana zogo nami...nashukuru Muuungu eeehSanturi yangu ya mbaraka mwinshehe sijui wameiweka wapi?

Marvellous, kheri ya kuzaliwa mkuu.Its my birthday and this is what I needed for a present.
Hana mpira wakumueka matial bench, kapumzishwa tu kutokana na gemu nyingi tulzonazoWashabiki wengi hawamkubali Lingard lakini ukiona kipaji kama Martial kinakaa bench na Lingard anapangwa inabidi ujiulize na uanze kuangalia Lingard huwa anafanya nini uwanjani.
Swadakta kibao murua hichoNimehama nimehama baada ya kuona balaa limezidi.....majirani zangu hawana zogo nami...nashukuru Muuungu eeeh![]()
![]()
![]()
Naomba ukiona comment yangu ipite tu.Hana mpira wakumueka matial bench, kapumzishwa tu kutokana na gemu nyingi tulzonazo
Naona kile chumba namba 6 tumempangisha mtu ...Afadhali tumeshinda, sasa tumshushe Liverpool
GGMU




Aisee sio ww peke yako, ssimuamini km bata sehemu yyte anaweza akachafua. Confidence yake iko chini mno.Leo sijui hii bahati tumeitolewa wapi ila kuna kiumbe kinaitwa Smalling kinazidi kunitia mashaka kila siku zinavyozidi kwenda
Hataree sana mkuu600th premier league win for Man Utd
Afu msimu unaisha hawanda ndoo!Tumempita Arsenal kama vile kasinzia


! Tushapangisha mtu sisi ile nyumba no. 6...