Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ulimwona Walcott leo? Hakupata goli lakini alikuwa anawapa hekaheka, hivi mbona Wine Romney hakuonekana leo alifunikwa na vijana machachari .... ..... .... .. I told you Manure bila kubebwa kwishnei mmebaki na nahau kwamba na nyie mpo kwenye ramani ya soka. Nafurahi mmekabidhiwa kombe leo kama wanoko flani hivi walivyokuwa wanachema.

Pics baadaye kidogo ... .... ... . .. ..............

Nilimuona kamanda wangu yule tena..japo kimeniuma mmetufunga!!..leo mmefurahi wenyewe, hamjamaliza kazi mechi ijayo lazima muanze kumsakama AW afunge virago🙂
Leo nyie itakuwa mmetoa bahasha..ila ndiyo hivyo, leo kwenu kesho kwetu ushindi!!
HONGERENI SANA...thanks for pics!
 
Nilimuona kamanda wangu yule tena..japo kimeniuma mmetufunga!!..leo mmefurahi wenyewe, hamjamaliza kazi mechi ijayo lazima muanze kumsakama AW afunge virago🙂
Leo nyie itakuwa mmetoa bahasha..ila ndiyo hivyo, leo kwenu kesho kwetu ushindi!!
HONGERENI SANA...thanks for pics!

Chichi hatushindi kwa bahasha hizo mpunga tutatoa wapi tena angalia lile goli kutoka katikati ya wachezaji wa manure umeona hiyo pic ya Ramsey .... ... hakuna anayelalamika wenye magoli namna hiyo ni chelsick waulize spurs wanafahamu habari yao khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
images
...ehh?, kafa nani tena hapa?
 
ha,ha,ha,ha,haaaa wanasema hugeuka mnyama kadri unapo mkanyaga mkia usijalibu ha,ha,ha,ha,haaaa
 
Mkuu hizo picha ni kabla ya mechi dhidi ya schalke? Maana Anderson amekata nywele as of yesterday wakati wa training.
Hii mechi nilikuwa nimeipania nikaianhalizie emirates lakini nineshindwa...alafu baada ya barca na madrid kufungwa leo nimeanza kupata wasi wasi nayo.



Inaonekana nywele zake zinakuwa haraka sana, maana nimemwona kwenye mechi ya leo akiwa na nywele!!!!!
 
Inaonekana nywele zake zinakuwa haraka sana, maana nimemwona kwenye mechi ya leo akiwa na nywele!!!!!
Alikuwa amezifumua and it looked shorter unless awe anaweka extensions wakati akisuka cornrows.
Ando-Hair1.jpg
 


Mzee wa kulalamika .... ..... ....







Jamani vipi Bahasha mmepokea halafu mnatuangusha
khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee






Furngie anamfuata mshika kibendera
khe khe khe kheeeeeeeeeeee
 
Arsenal nao!
Mbona mkifungwa mnakuwa wadogo sana?
By the way kombe tutachukua tu
 
Arsenal nao!
Mbona mkifungwa mnakuwa wadogo sana?
By the way kombe tutachukua tu


Owen akijaribu kupata goli la kutungua .... khe khe kheeeeeeee

Wacha wivu wewe udogo wetu uko wapi? Ni wewe mnafiki tu unayeibeza Arsenal wakati wamekupiga magoli khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeee
 



Mungiki Brother nilimuona akichungulia kutoka Kibera slams .... ..





Mungiki Brother akishehereka baada ya kuona
matumaini ya Chelsick yanakuwa mazuri .... .






Mungiki Brothers hawakupenda Arsenal washinde
lakini ilibidi aunyuti tu ... ... kimya kimya .... . .




BTW Chonde chonde hali ya Mfarisayo ...... ..... ....... .....
 
Wacha1 bwana, give us space...ha ha

Yani kama vile mmechukua kombe🙂 khe khe khe khe

Usishangilie sana kamanda!!...next week uwe hapa hapa kutupa congrats,sawa eeh?!!!
 
Wacha1 bwana, give us space...ha ha

Yani kama vile mmechukua kombe🙂 khe khe khe khe

Usishangilie sana kamanda!!...next week uwe hapa hapa kutupa congrats,sawa eeh?!!!

BJ tafadhali mchekini Mfarisayo na Ngongo maana hawajaonekana hapa inawezekana pressure imepanda khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeee Belo na Manda hawana shida wale wameunyuti tu nafahamu watarudi majeruhi yakipoa khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 


Kaboom khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeee


_52444770_fergusontimebest.jpg


Khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
BJ tafadhali mchekeni Mfarisayo na Ngongo maana hawajaonekana hapa inawezekana pressure imepanda khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeee Belo na Manda hawana shida wale wameunyuti tu nafahamu watarudi majeruhi yakipoa khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeee


ulitaka tukamie mechi kama nyie? we have two cups to contest so we have to be care full how we play and sometimes try to reserve our strength.. nguvu mliotumia jana mngecheza hivyo msimu wote mngeshatangaza ubingwa siku nyingi
 
ndo ubingwa wao huo

Dah! Umepata kikombe cha Babu? Wacha ngebe kaka mpira mmeshindwa chacha mnakimbilia sababu ambazo hazina tija Furngie analalamika khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

ulitaka tukamie mechi kama nyie? we have two cups to contest so we have to be care full how we play and sometimes try to reserve our strength.. nguvu mliotumia jana mngecheza hivyo msimu wote mngeshatangaza ubingwa siku nyingi

Nyie mna quadruple khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeee the invincibles my ... ...





sport-caro-fergie_1302744a.jpg



FERGIE2_1302699a.jpg



CHIN 'N BEAR IT ... Fergie shows his rage


EdwinVanderSar_1302663a.jpg

VAN DER AAAGH ... United's Dutch keeper can do nothing
to stop Aaron Ramsey's winner


AaronRamsey123_1302753a.jpg


RAM RAID ... Arsenal's Aaron Ramsey scores

Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee .... .... ..... ...... ...


 
Anko Wacha1 mzee wa yengele...
Tukome wana wa wenzako..tuko hanimuni ya kufungwa...
 
Javier's title dream

Few of us expected the boy from Guadalajara to have quite such an impact this season. Openers, equalisers and especially winners, scored with head, feet, heel and even face... Javier Hernandez lives to put the ball in the net.
He's also shown a dedication to the cause, a humbleness and an understanding of what it means to play for United that has endeared him to Reds everywhere. We caught up with him to ask him how he was coping with the sharp end of his first title challenge as a United player…

The season is entering its crucial phase now – have you been involved in title chases before, while playing in Mexico?
In my first season with Chivas in 2006 we won the title. I didn't play too many games but I scored a couple of goals and helped us win the trophy. We also won another domestic tournament in 2009 called the Interliga – the winners of that go into the Copa Libertadores.

What has that taught you about how to approach the busy and important end of the season?
Well, it's given me a small amount of experience of these situations, but I have still talked to my team-mates here about what to expect in – and how to prepare for – this crucial part of the season. It's all about staying calm, focusing on the task in hand and believing in what you are trying to achieve.

What advantage do United have over Chelsea and Arsenal in the title chase?
The only one is the fact that United is a big club with a great history in these battles. Several of the players have been here and done this before,
 
KOCHA wa Manchester United, Sir Alex Ferguson amesisitiza kuwa ubingwaupo wazi kwao au Chelsea licha ya timu yake kuadhibiwa na maamuzi duni ya mwamuzi wa mchezo dhidi ya Arsenal juzi.

Alisema makosa ya mwamuzi Chris Foy katika mchezo huo yaliikosesha penalti Man United kipindi cha pili baada ya Gael Clichy kumkwatua Michael Owen.Ferguson alieleza imani yake kwamba Foy alikosea kwa kushindwa kuwapa penalti ya dakika ya 88 baada ya Clichy kumchezea vibaya Owen.

Pia, alieleza kuwa wapinzani wao (Arsenal) pia walinyimwa penalti kipindi cha kwanza baada ya Nemanja Vidic kucheza kwa mkono krosi yaTheo Walcott.Kwa matokeo hayo, Chelsea ina pengo la pointi tatu nyuma ya Man United baada ya Jumamosi kuishinda Tottenham kwa mabao 2-1 na timu hizo zinakutana Old Trafford , Mei 8.

Miezi 11 iliyopita, Didier Drogba alifunga bao la ushindi na kuipa ushindi Chelsea na ubingwa dhidi ya Man United, lakini Ferguson ana matarajio ya kutorudia kosa."Utakuwa mchezo mgumu, una umuhimu mkubwa, lakini unahitaji maamuzi sahihi," alieleza Ferguson. "Ninajua utakuwa mgumu kwa kila mmoja wetu.

"Sina shaka kwamba uamuzi wa kutunyima penalti na nafasi ya kusawazisha umewasaidia Chelsea ambao tunakutana nao wiki moja ijayo. Wao (Chelsea) walipata ushindi na ubingwa pale Old Trafford , hiki kinanipa wasiwasi.

"Lakini, kuhusu uwezo - mchezo pale Old Trafford, mbele ya mashabiki, tupo tayari kwa vita, nimewaambia pia wachezaji wangu."

Katika mchezo wa Jumapili, Aaron Ramsey alifunga bao la sakika ya 56 na kuipa ushindi Arsenal ambayo ilitawala mchezo huo huku Ferguson akikiri kwamba walishindwa kuhimili vishindo licha ya mwanzo wa mchezo kutawala wao.Kwa matokeo hayo, Arsenal ipo nyuma ya vinara hao kwa pointi sita zikiwa zimebakia mechi tatu msimu huu na kocha Arsene Wenger amekata kusema kuwa amekata tamaa.

Nafasi yao ya ubingwa itaimarika endapo Chelsea itailaa United na Wenger ameeleza kuiunga mkono Chelsea chini ya Carlo Ancelotti Jumapili

Wenger anajifariji kuwa nao Samir Nasri na Cesc Fabregas katika mchezo ujao dhidi ya Stoke City. Nasri aliumia juzi huku Fabregas akiuguza paja.
 
Back
Top Bottom