Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Selective memory??? Are effin serious...Hukuona nilipoandika hapo justice done for Vidic handball ama basi tu unafanya post patting?

Calm down ! Are on u the loosing side?

Man watasawazisha msimu ujao!
 
Wakuu tusikate tamaa mechi bado zipo nyingi sema next weekend inabidi ushindi tu na sio zaidi.....
 
ferg hakupaswa kumtoa carick kwani alikuwa anasaidia sana kiungo
Mkuu this was another atrocious away display, and to be honest Arsenal pushed harder for the little things and the one-on-ones, so they deserve their victory. Sub ambayo sikuielewa ni ya Anderson seriously taking a CM for a winger? Hakukuwa na mtu wa kumtrack Ramsey, oh well I hope we don't choke up next week a la last season.
 
poleni sana!... bado lakini jumapili na chelsea jitahidini
 
mtu mzima fag

attachment.php
 

Attachments

  • fag.jpg
    fag.jpg
    31.1 KB · Views: 51
Leo Arsenal wanapiga kiatu kudadeki..!!

Nasikia Alexander Song amepigwa marufuku kuonekana Old Trafford khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee Vipi wakuu naona refa alijitahidi kuwabeba baada ya Vidic kufanya mambo yake lakini sikio la lufa huwa halisikii dawa khe khe kheeeeeeeeeeeeeeee

Chacha wazee mliona wanja lile sio cowshed ya pale kwa mafioso team khe khe khe kheeeeeeeeeeeee kama nilivyosema alifu chichi huwa hatutegemei kubebwa kama nyie na ndugu zenu mafioso team, ukitaka kuangalia mazingaombwe fuata Manure au Chelsick khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Imekula kwetu leo, big up kwa gunners!..maisha yanaendelea!!!

Ulimwona Walcott leo? Hakupata goli lakini alikuwa anawapa hekaheka, hivi mbona Wine Romney hakuonekana leo alifunikwa na vijana machachari .... ..... .... .. I told you Manure bila kubebwa kwishnei mmebaki na nahau kwamba na nyie mpo kwenye ramani ya soka. Nafurahi mmekabidhiwa kombe leo kama wanoko flani hivi walivyokuwa wanachema.

Pics baadaye kidogo ... .... ... . .. ..............
 
article-1382187-0BDC317400000578-75_634x450.jpg

Nyie mnatoa bahasha halafu mnajifanya kuomba ili mshinde
.... ... s t u p i d boys


article-1382187-0BDC638300000578-519_634x422.jpg

Huu ndio mpira mnaofundishwa Old Trafford?
khe khe khe kheeeeeeeeeeeeee


Schalke na Barca walikuwa wanaiangalia hii mechi jinsi ya kuwa-torpido Manure ...
.... ... Are you there? Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Arsenal-v-Manchester-United-Wayne-Rooney-book_2591711.jpg

Wacha utundu wako hutoki bure hapa ... . ...


Arsenal-v-Manchester-United-Aaron-Ramsey-goal_2591712.jpg


Kaboom Ramsey anawatundika goli khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeee
 
Arsenal-v-Manchester-United-Arsene-Wenger-cel_2591777.jpg

Wenger akisheherekea goli la Ramsey


Arsenal-v-Manchester-United-Arsenal-celeb-Way_2591779.jpg

Wine Romney baada ya mkung'uto


Hadi tunapokwenda mitamboni hatukuweza kupata picha ya Furngie Khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeee
 
Back
Top Bottom