Man Utd watapewa penalt Kama kawaida!
Berbatov for Rooney..!!
Angalia muda nilicomment, ilikuwa kabla substitution haijafanywa...!!unaangalia game ipi?
Angalia muda nilicomment, ilikuwa kabla substitution haijafanywa...!!
Wewe mbona unacomment pumba sasa hivi... SMH!!Kwanini ulicomment pumba?
hahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa... mchungaji na eklips nani zaidi kwenye pumba, khe khe kheeeheheheeeeeeeeeWewe mbona unacomment pumba sasa hivi... SMH!!
hahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa... mchungaji na eklips nani zaidi kwenye pumba, khe khe kheeeheheheeeeeeeee
That was a penalty...justice done for Vidic handball I guess.
Selective memory??? Are effin you serious...Hukuona nilipoandika hapo justice done for Vidic handball ama basi tu unafanya post patting?Selective memory !