Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

nafasi ya 6 tutakuwepo tu kwa muda ila nina uwakika kabisa mpaka msimu uishe mwezi wa 5 hatutamaliza na nafasi ya 6, tutatoka hapo.

Red: Kumbukumbu zinaonyesha tupo muda mrefu hapo sehemu

Kinachosikitisha kila tukipata nafasi ya kupatoka tunakosea

Unajua tungeshinda game la leo, sasa hivi tungekuwa kwenye top four?
 
Still Nafasi Ya Kujifariji Leo Bado Munayo Hasa Pale Liver Atakapofungwa Na Arsenal........
Hata Hivyo Poleni Kwani leo ilikuwa ndiyo Golden Chance Ya Kuhama Nafasi Ya Sita lakini Mukapumbazwa Zaidi na Game Ya Liver v/s Arsenal na Mukaikea Concentration Kubwa Zaidi badala ya Yakwenu Pale Mulipojiamini Kuwa Mutashinda......
 
Nadhan unamuona kama analazimisha au hata wakati mwingine ukimwangalia anavyokimbia ni kama anapata shida hivi yote sababu ni umri ndo maana sitafurahi kama endepo msimu ujao tutaendelea kumtegemea
Mourinho anapaswa kumpumzisha Ibrahimovic,game ya leo kuanzia mwanzo alikuwa anaonekana hayupo mchezoni kabisa.
 
Still Nafasi Ya Kujifariji Leo Bado Munayo Hasa Pale Liver Atakapofungwa Na Arsenal........
Hata Hivyo Poleni Kwani leo ilikuwa ndiyo Golden Channce Ya Kuhama Nafasi Ya Sita lakini Mukapumbazwa Zaidi na Game Ya Liver v/s Arsenal na Muaikea Concentration Kubwa Zaidi badala ya Yakwenu Pale Mulipojiamini Kuwa Mutashinda......
Cc FaizaFoxy
 
Red: Kumbukumbu zinaonyesha tupo muda mrefu hapo sehemu

Kinachosikitisha kila tukipata nafasi ya kupatoka tunakosea

Unajua tungeshinda game la leo, sasa hivi tungekuwa kwenye top four?
najua tungeshinda tungekuwa top 4 nami nilikuwa na matumaini hayo, ila bado tuna siku zijazo asa kwanini niseme tutaishia hapo wakati msimu unaendelea?
 
Ingawa inauma ndio mpira ulivyo..MSN Pia uwa wanapoteza tusipende kulaumu mtu mmoja tulaumu timu hii game wangapi wamekosa magoli? ?
 
Mi nilijua zlatan atakosa tu ile penati coz huwaga habadilishi upande. Karibia penati zote anapiga kushoto. Leo kipa kamsoma akamuotea.
 
Mourinho nae na rekodi yake mbovu, droo 7 nyumbani!

That tells a lot. Never happened alipokuwa darajani. Kuna mtu namtafuta humu, labda kapitia Trafford Shopping Centre kupunguza hasira.
 
Ili Chelsea wasiwe mabingwa wanahitajika watoe sare tano au kupoteza mechi tatu na sare moja

Hapo ume-assume kuwa timu nyingine zitashinda mechi zote zilizobakia which is not always possible in the Premier League.

"I have experienced this, which is why I continue to repeat that there are 13 games and there are 39 points [to play for]. There is a long time to tell if we can win the title. We must be focused and go step by step and now I'm sure that to win the title we must do 32 points" - Chelsea Manager Antonio Conte.
 
Die hard [HASHTAG]#fans[/HASHTAG] wa [HASHTAG]#man u[/HASHTAG] tunasubiri mechi zijazo [HASHTAG]#ibramovic[/HASHTAG] amekosa tu penalty akosagi magoli n game tu
 
Hapo ume-assume kuwa timu nyingine zitashinda mechi zote zilizobakia which is not always possible in the Premier League.

"I have experienced this, which is why I continue to repeat that there are 13 games and there are 39 points [to play for]. There is a long time to tell if we can win the title. We must be focused and go step by step and now I'm sure that to win the title we must do 32 points" - Chelsea Manager Antonio Conte.
Sijui ni kwa nin mournho huaga anashindwa kumpiga sub zlatan hata azingue vip...huyu jamaa sometimes anakuwa out of the game kama leo na huko europa kama itakuwa ndo hiv sipati picha
 
Back
Top Bottom