Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,481
- 27,185
You can't win Europa league with your mediocre team you have.We there fore need at least europa league kama tuna taka mwakan tuwe UCL
Njia ya top 4 inaonekana kuwa ni nyembaba
Ngoja tusubiri tuoneYou can't win Europa league with your mediocre team you have.
Mashabiki wa man u mmejificha kwenye kivuli cha EFL mliochukua lakin timu yenu ni mbovu, sioni mkiingia top four wala kubeba Europa, mkijitahidi Sana nafasi ya tano ndio mtamaliza nayo
Hebu tutajie angalau timu 5 ambazo sio mediocreYou can't win Europa league with your mediocre team you have.
Mashabiki wa man u mmejificha kwenye kivuli cha EFL mliochukua lakin timu yenu ni mbovu, sioni mkiingia top four wala kubeba Europa, mkijitahidi Sana nafasi ya tano ndio mtamaliza nayo
Zote zilizo juu yenu kwenye msimamoHebu tutajie angalau timu 5 ambazo sio mediocre
Timu zilizotuzidi point 2 ?Zote zilizo juu yenu kwenye msimamo
Yes but hawaja spend pounds mill 150 kwenye usajili Kama nyie,Timu zilizotuzidi point 2 ?
Nobody cares what you like or not,Man utd kuchukua EFL ni mwiba mkali sana kwa shabiki wa matukio wa liver kama wewe.

Rich people spend rich, if you don't have a problem with that and so be with rich club like Manchester Utd.Yes but hawaja spend pounds mill 150 kwenye usajili Kama nyie,
Nobody cares what you like or not,Man utd kuchukua EFL ni mwiba mkali sana kwa shabiki wa matukio wa liver kama wewe.
Umepata nguvu ya kuleta picha baada ya kuifunga Arsenal![]()

Kwa zlatan Kuna watu hawatakuelewa lakini laiti ningekua Mimi nisingemuongezea mkataba mwingine. Sio kwa sababu ya mechi ya juzi tu Ila ni mara nyingi jamaa anakosa nafasi za wazi Sana, anacheza kwa kurelax mno.juzi nimeota wayne rooney amerudi katika ubora wake, nilifikiri hii tabia ya ibrahimovic ya kupoteza mipira ovyo na kushindwa kwake kukimbizana na mabeki ataondokana nayo kumbe nilikuwa najidanganya.kama tunataka kupambana na chelsea na wale warusi basi tunamuhitaji rooney au rashford, kadabra ni mfungaji bora kuliko wote ila anaposimama yeye mbele anawapa mapumziko sana mabeki wa timu pinzani, kwa kishindo kile cha david luiz na cahill tunamuhitaji rooney.
maishani mwangu ninawapenda sana makocha wazungu kwa sababu ni watu wanaosimamia kile wanachokiamini na hawapendi kuingiliwa maamuzi yao ila baadhi ya wakati wanakosea, kwa mfano josep guardiola alikuwa anatulazimisha mashabiki tuamini ya kwamba
sergio busquet ni bora kuliko yaya toure
philip lahm ni kiungo bora kuliko javi martinez
fernandinho na fernando ni bora kuliko yaya toure
philipe scolari alipokuwa chelsea alitulazimisha tuamini ya kwamba
anelka alikuwa ni bora kuliko drogba
ugonjwa huu sasa umehamia manchester united ambapo jose anatulazimisha mashabiki na wapenzi wa manchester united tuamini ya kwamba fellaini ni muhimu ndani ya timu yetu na ni lazima acheze kila mechi japo dakika 20,
takribani dakika 30 za ya juzi bournermouth walicheza watu 10 ila mabadiliko aliyoyafanya mourinho kwa mtazamo wangu yalitufanya sisi tuwe pungufu ya wachezaji 3 dhidi ya mchezaji mmoja wa bournermouth.
fellaini, lingard na ibrahimovic walitufanya tuwe pungufu.
hivi kuna mshabiki wa manchester anayeamini lingard ni bora kuliko james wilson
fellaini ni bora kuliko bastian schwensteiger
mimi akili yangu inaniambia marcos rojo anapaswa kucheza kila mechi kama koscielny na wanaopaswa kupumzishwa ni smalling na jones na baily.
Mkuu umeandika kweli tupu, kama ningekuwa mou Rooney angecheza nafasi ya ibra na kwasababu naamini Rooney ni mtu wa kulazimisha na pia ningemlazimisha asizunguke uwanja mzima.. Rooney anatabia ya kuzunguka uwanjani muda wote akikaba na kutafuta mipira,sasa hii inamchosha na kumfanya asiwepo kwenye nafasi yake!juzi nimeota wayne rooney amerudi katika ubora wake, nilifikiri hii tabia ya ibrahimovic ya kupoteza mipira ovyo na kushindwa kwake kukimbizana na mabeki ataondokana nayo kumbe nilikuwa najidanganya.kama tunataka kupambana na chelsea na wale warusi basi tunamuhitaji rooney au rashford, kadabra ni mfungaji bora kuliko wote ila anaposimama yeye mbele anawapa mapumziko sana mabeki wa timu pinzani, kwa kishindo kile cha david luiz na cahill tunamuhitaji rooney.
maishani mwangu ninawapenda sana makocha wazungu kwa sababu ni watu wanaosimamia kile wanachokiamini na hawapendi kuingiliwa maamuzi yao ila baadhi ya wakati wanakosea, kwa mfano josep guardiola alikuwa anatulazimisha mashabiki tuamini ya kwamba
sergio busquet ni bora kuliko yaya toure
philip lahm ni kiungo bora kuliko javi martinez
fernandinho na fernando ni bora kuliko yaya toure
philipe scolari alipokuwa chelsea alitulazimisha tuamini ya kwamba
anelka alikuwa ni bora kuliko drogba
ugonjwa huu sasa umehamia manchester united ambapo jose anatulazimisha mashabiki na wapenzi wa manchester united tuamini ya kwamba fellaini ni muhimu ndani ya timu yetu na ni lazima acheze kila mechi japo dakika 20,
takribani dakika 30 za ya juzi bournermouth walicheza watu 10 ila mabadiliko aliyoyafanya mourinho kwa mtazamo wangu yalitufanya sisi tuwe pungufu ya wachezaji 3 dhidi ya mchezaji mmoja wa bournermouth.
fellaini, lingard na ibrahimovic walitufanya tuwe pungufu.
hivi kuna mshabiki wa manchester anayeamini lingard ni bora kuliko james wilson
fellaini ni bora kuliko bastian schwensteiger
mimi akili yangu inaniambia marcos rojo anapaswa kucheza kila mechi kama koscielny na wanaopaswa kupumzishwa ni smalling na jones na baily.
Kazi ya kufunga sio ya Ibra peke yake ni magoli mangapi Pogba,Mata,Lingard,Martial,Rashford wamekosa ?Kwa zlatan Kuna watu hawatakuelewa lakini laiti ningekua Mimi nisingemuongezea mkataba mwingine. Sio kwa sababu ya mechi ya juzi tu Ila ni mara nyingi jamaa anakosa nafasi za wazi Sana, anacheza kwa kurelax mno.
Tunatakiwa tupate striker mwenye uchu wa mafanikio, can you imagine tungekua na striker Kama lukaku, aguero, Defoe au costa kwa zile nafasi tunazotengeneza nina uhakika zile droo Zote tulizopata OT zingekua point tatu
Na pogba anaongoza kukosa magoli ya wazi sana bora zlatan yani pogba one on one na kipa hafungi. Kwa ujumla timu nzima ni hovyo kwenye ufungaji. Zlatan afungiwe kidogo tujaribu mtu mwingine pale mbele.Kazi ya kufunga sio ya Ibra peke yake ni magoli mangapi Pogba,Mata,Lingard,Martial,Rashford wamekosa ?
Tatizo la kukosa magoli ni la timu nzima sio Ibra pekee, timu nyingine viungo na mabeki wanafunga kuwapunguzia mzigo strikers wao