Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

866ff9324e824995d7f32b7e5e54d373.jpg
 
Duh total targets 20, on target 7, corner 15 bado tunatoka draw dah.....fungu la kukosa limetuandama leo
 
Kwa jinsi tulivyocheza leo, hiyo game na chelsea sijui kama kitakachotupata tutaweza kukielezea
 
1532.jpg

Bournemouth’s Artur Boruc saves a penalty from Zlatan Ibrahimovic, who missed the chance to put Manchester United 2-1 up in an incident packed match.
 
zlatan sio straiker wa kumtegemea,boya yule ndo katukosesha point tatu,anakatakata tu viuno uwanjan..
 
Manutd wanahitaji winga wenye kasi ili kudhoofisha ngome vinginevyo ufungaji utakuwa wa kusuasua
 
Nitaumia zaidi msimu ujao endapo ntaendelea kumuona zlatan akiwa pale mbele kama tegemezi sababu magoli anayokosa ni mengi kuliko anayofunga
Niliwahi kusema nafasi ambayo anapangwa zlatan, angepangwa wazza mara mia angetufikisha mbali, nikaambiwa nipunguze mahaba na captain
 
One of those days when u have lots of chances to score, win the game but things don't go right. Disappointing really, but that's the game, you can't expect to win every single match. Let's hope the next ones come with positive results. Viva Manchester Utd
 
usi conclude hvyo bwana, msimu bado. tutegemee mazuri zaidi mbeleni.

Mhh

Liverpool kafungwa majuzi, leo anacheza na Arsenal ambao wote wapo juu yetu, kwahiyo kuna mmoja wao au wote wawili wakapoteza point/points, sisi tunacheza home na timu tunayotakiwa kuifunga tena wako nusu kwa muda mrefu tunashindwa kuwafunga

Huoni kama kuna gundu hapo nafasi ya sita?

GGMU
 
Back
Top Bottom