Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hili ni kosa la Mourinho. Kwanza kapanga timu kwa kuidharau Bournemouth,back four kabadili watatu,midfield herrera nje yaani dharau tu.
 
Hii nafasi ya sita imetung'ang'ania sana , tunayo tuu hata tufanyaje
 
Duh sijapata kuona sijui ibra n kimbola ya mou this is shit
 
Dah

Mpira umeisha , Bournemouth kwa mara yao ya kwanza wanapata point Old Trafford
 
Yan unamuona ibrah yuk out of game then still tu unambakisha *** mourinho *** him he the reason behind this draw
 
Nilisema humu masaa mawili kabla mechi kuanza na tuna bahati wapo pungufu tulikua tunafungwa ile
 
dah ndiyo mpira lakini ingawa leo nilikuwa na matumaini ya kutoka hapo namba 6 ila ndiyo hvyo.
 
Utashangaa Chelsea wanamfunga West Ham nyumbani kwake huku sisi tunajivalisha sare wenyewe tena nyumbani
 
Tukariri tu huu usemi kwamba mechi muhimu ya united kushinda tunatoa sare
 
Back
Top Bottom