St ettiene vs Man utd itachezwa kesho jumatano saa mbili usiku ili kupisha maandalizi na siku za kutosha kwa Red devils kwa ajili ya fainali ya jumapili
 
Vivyo hivyo pia Wayne mark Rooney "WAZZA" anaweza kukosa fainali hiyo ya jumapili dhidi ya Southampton kutokana na kuendelea kusumbuliwa na misuli..
#GGMU#
 
St ettiene vs Man utd itachezwa kesho jumatano saa mbili usiku ili kupisha maandalizi na siku za kutosha kwa Red devils kwa ajili ya fainali ya jumapili
Kesho ander herrera hachez ana kad sa njano tuone kesho itakuwaje bila haka ka mtu
 
Rashford na valencia wanabahati sana wanapoanza kufunga au kwa kusawazisha basi hatujawahi kupoteza mchezo naona nae mkhitaryan ana bahat hiyo.
 
Man Utd's most expensive signings
Paul Pogba (£89million)
Angel Di Maria (£59.7million)

Juan Mata (£37.1million)

Anthony Martial (£36million)

Dimitar Berbatov (£30.75million)
 
Maandalizi ya uoropa league
FB_IMG_1487689226178.jpg
 
Back
Top Bottom