Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Man u fans wamekuwa wana mu underrate sana Rooney, kuna kipind kweli alikuwa anazingua ila kwa aina ya wachezaj walioko man u kwa sasa, bado Rooney angeweza akapata namba kiroho safi.
Mf. Rooney anaweza fanya kosa moja likaonekana zaid ya Ibra akifanya kama hayo manne, sijui ndo damu/ nyota ama vip!

Hili tatizo limeanzishwa na vyombo vya habari na wachambuzi wa soka kutoka Uingereza. Siku wakimuheshimu Rooney basi fans na wao watamuheshimu.
 
Tume kimiss kile kiwango chake..

Aondoke tu hata kesho kabla hatujabeba EFL hiyo jumapili
Msimu uliopita kama Barcelona wangemuuza Messi kwasababu hakuwa form, unategemea maisha yao yangekuwaje msimu huu!?
 
Hili tatizo limeanzishwa na vyombo vya habari na wachambuzi wa soka kutoka Uingereza. Siku wakimuheshimu Rooney basi fans na wao watamuheshimu.
Istoshe manchester wamemtumia sana kinyume na maumbile,kipind yuko form ameshachezeshwa had namba 6, nane ndo zaid, yan kila namba iliyokosa mtu walikuwa wanamuweka, ss hv hari imepungua na umri nao ndo hvy instead wamuweke mahali pasipo na fujo mingi, instead akiwekwa wanamuweka kama wing forwad, Rooney sio aina ya mchezaj wa kucheza wing, kwa mtazamo wangu bora acheze namba nane, hawa watoto atleast ndo wangepaswa wakimbie kimbie huko pemben faza akae kati awatupie mapande maana ana uwezo huo
 
Man u fans wamekuwa wana mu underrate sana Rooney, kuna kipind kweli alikuwa anazingua ila kwa aina ya wachezaj walioko man u kwa sasa, bado Rooney angeweza akapata namba kiroho safi.
Mf. Rooney anaweza fanya kosa moja likaonekana zaid ya Ibra akifanya kama hayo manne, sijui ndo damu/ nyota ama vip!
same treatment anaipata mchezaji anayefanya vizuri zaidi ya rooney yaani ronaldo huko madrid!!!ndio mpira ulivyo...ukiwa una deliver sana ukianza kupungua kidogo tu unahatarisha heshima yako
 
Tutashinda.

Tawile!!! kweli kabisa ushindi upo

Unbeaten run yetu lazima iendelee, ukijitahidi sana sana unapata draw ila siku hizi hata timu zenyewe zinajua kuwa ukicheza na UTD matokeo yatakuwaje

Ila na wewe siku hizi unatutenga, tukiwa tunacheza huonekani humu unakuwa kama yule "Kaka Yako" wa *Hata nyie mnaogopa kucheza na majogoo*

GGMU
 
Tunamheshim sana super 'Wazza' ila kila kitabu na zama zake,, kiwango chake kwa sasa na mabadiliko yanayotakiwa pale utd sion akipata mda mwingi wa kucheza,, ni vema akafanya maamuzi mazuri mf. angeenda zake china akamalizie mpira wake huku akiongeza kipato chake,,, wanadai kule ni maarufu kumzidi messi,, honestry,, hajacheza vema takriban misimu mitatu,, ilihali utd wanahitaji kupanda chati na kurejesha heshima ilopotea kwa mda.. all the best white pelle kama deal itafanikiwa,,
 
Umri wa rooney sio wa kupigania namba na wakina mkhitaryan

Hata zizou alitundika daruga fasta kuweka jina lake libak hai.
 
Kwa manchester hii inayojipambanua kurudisha heshima yake asepe tu awaachie vijana wenye spid rooney ni nembo ya timu hilo halifutik.
 
Heshima ya Rooney ipo pale pale... Amefanya makubwa, kwa Sasa anahitaj kumaintain heshima tuu... Apangwe mech moja moja kama vile J Terry

Ukiangalia wakongwe waliobaki kwa Sasa Ni Rooney,Carrick, waliokuwepo enzi zileee....ukiacha degea,jones,valencia na smaliing

Rooney hata kama hachezi uwepo wake huko kwenye vyumba vya kubadilishia nguo, muhimu saaana kuwarithisha Hawa wakina rushford,martial
 
Man u fans wamekuwa wana mu underrate sana Rooney, kuna kipind kweli alikuwa anazingua ila kwa aina ya wachezaj walioko man u kwa sasa, bado Rooney angeweza akapata namba kiroho safi.
Mf. Rooney anaweza fanya kosa moja likaonekana zaid ya Ibra akifanya kama hayo manne, sijui ndo damu/ nyota ama vip!
Labda tabia ya ukipata chungu kipya ila wazza siku zote hapendi kuona tunafuņgwa ni mpiganaji wa ukweli na rekodi yake inajieleza nitaendelea kumshabikia na kumkumbuka pia.
 
ROONEY: I'M STAYING AT UNITED

Manchester United captain Wayne Rooney has addressed speculation about his future by releasing the following statement.

“Despite the interest which has been shown from other clubs, for which I’m grateful, I want to end recent speculation and say that I am staying at Manchester United," declared the Reds' record goalscorer.

“I hope I will play a full part in helping the team in its fight for success on four fronts.

“It’s an exciting time at the club and I want to remain a part of it.”

Rooney: I'm staying at United - Official Manchester United Website
 
Nahisi ange enda china akapige hela
 
16bc583bac758f42f17b115d656b4ecf.jpg
 
Back
Top Bottom