The Bodmas
JF-Expert Member
- Nov 21, 2016
- 405
- 403
Game kuchezwa tarehe 9_16 march 2017
Walete hao warusi. Safari ile ya robo fainali
Kwao wanaweza kutufunga ila wanakuja kufia kwenye uwaja wa mashetani wekunduhao rostov sio watu wa mchezo mchezo buyern alishakufa kule 3-2 na hata atletico madrid nafikir ni mwaka jana au juz
Kwao wanaweza kutufunga ila wanakuja kufia kwenye uwaja wa mashetani wekundu
Naomba nitabri fainari ya Europa
Ni Man utd vs Roma/ajax.
Wabishi sna hawa mkuuhawa rostov wabishi sana uwanja wao wa nyumbani
derbyGent vs genk
ila tulishashinda kule vs cska moscow...... tunapiga walehao rostov sio watu wa mchezo mchezo buyern alishakufa kule 3-2 na hata atletico madrid nafikir ni mwaka jana au juz
hahahakwenye hiyo table sioni game nyepes hata kidogo zote za moto
Cska moscow kawa mchovu siku hiz kule kuna zenit na rostov hao miamba kidogo krasnodarila tulishashinda kule vs cska moscow...... tunapiga wale
Hawa jamaa wana mpira wa kudefence sana, hata formation wanayotumia nyuma wanabaki watano, Wanapiga mashuti ya mbali pia japo kwasasa united itajivunia umahiri wa De gea, Kwa United pia kumkosa Bailly kwenye first leg pia ni kikwazo angesaidia sana speed na mipira ya vichwa wanayo tegemea sana hawa jamaa, Rostov pia wana uwanja mbaya na hali ya hewa ambayo wameizoea inaweza kuwapa advantage pia![]()
![]()
Game kuchezwa tarehe 9_16 march 2017
Cska moscow kawa mchovu siku hiz kule kuna zenit na rostov hao miamba kidogo krasnodar