Klabu nyingi zikikaa na mchezaji miaka mingi anaposhuka kiwango klabu zinakuwa kwenye wakati mgumu sana kufanya maamuzi ukizingatia mchango alioutoa huko nyuma
Angalia case za Xavi+Alves Barcelona ,Raul na Casilas pale Madrid
Steven Gerrard pale Liverpool,
Lampard,Cech &JT Chelsea,Hart,Toure,Kompany & Aguero ManCity
Rooney alicheza sana akiwa na umri mdogo kama Owen umri kiwango kimeshuka ndio maana makocha wengi walikuwa wanajaribu kumchezesha namba tofauti kuona nafasi ipi itamfaa still imekuwa ngumu kupata namba kikosi cha kwanza kwenye timu kama Manchester United angekuwa timu ndogo angeweza pata namba kama anataka kuendelea kubaki Unitef lazima akubali kuanzia bench
Sidhani kama China kutamfaa amaweza kwenda US akacheza hata miaka 3 ndio astaafu