Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,481
- 27,185
Tuna mechi 4 against wapinzani wetu Man City,Arsenal ,Spurs na Chelsea kwa sasa hatupaswi kupoteza hizi mechi na hizi game karibia zote zinachezwa mwezi May so tunapaswa kutopoteza mechi.
Na Ndiyomaana Nikawa Ninasema Ratiba HaijamFavor Man U Kuingia Top 4 Coz Hapo Arsenal, Man City na Spurs Bado Watakuwa Wapo Katika Pressure Ya Kuto Kushuka Top 4, Wakati Chelsea Analinda Heshima....