zinc
JF-Expert Member
- May 24, 2013
- 1,391
- 1,069
Wapinzani roho zao zinawauma wakisikiA unaandika kitu cha namna hii [emoji38] [emoji38] [emoji38]wakuu...tuko vizuri sana!!tofauti yetu na mtu wa nafasi ya pili ni pointi 2 tu huwezi kuamini!!!halafu naona mwisho wa siku tunaweza kumaliza msimu na makombe matatu au mawili