Naomba spurs watufanyie kazinow you know what to do spurs
At least itakuwa kama tumeondoa gundu ya namba sitasi mbaya sana kukaa no5 hata kama ni kwa mda,, GGMU
Umetisha kkUtabiri wangu jamani umetimia
Nimeanza kuwa mtabiri siku hizi![]()
![]()
![]()
Nafikiri game itakua draw, leo nafasi ya 5 inatuhusuNaomba spurs watufanyie kazi
Mkuu sio you will never walk alone ni you will never win anythingTo dare is to do the game is about glory
Vs
You'll never walk alone

Ila naomba liver ifungweNafikiri game itakua draw, leo nafasi ya 5 inatuhusu
hongera kwa ushindi, hatimae tumehama namba 6, Mungu asaidie tusonge mbele zaidi. Amen
Inshaallaah

Weweeeeee nomaaaaaaaaaaaaa!!!!!!! Kunywa pepsi bariiiidi kwa Mangi naja kulipa.... wanandugu wenzangu naomba nisisherekeee kwasasa yaani nimefunga naomba saa nne nitakuja kushangilia,please please nisaidieni wote kuomba!!!Matokeo ya leo
Yatakuwa hivi
ManU 2:0 watford.

Kama ni mkeka umeunyakua wote.Matokeo ya leo
Yatakuwa hivi
ManU 2:0 watford.
Namuona Klopp akipata joto kipindi hiki cha baridiMkuu sio you will never walk alone ni you will never win anything![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Wafungwe tuIla naomba liver ifungwe
Wafungwe kabisaWafungwe tu