Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Duhhhh!!! Hahahahaha Kweli umeamua kuwapa Liver ushindi yaani unakana hadi jinsia yako?mimi mwenyewe hapa na kipochi changu nimeminya wewe hutakiii!! Nitakuja kukuminya kwa nguvu sasa.... na wakifungwa Totenham wanaume wa humu mtakuwa mmeniangusha maana hii dawa very applicable for men ndo inaleta majibu mubashara[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ngoja aje Bitoz
 
Tangu lini me wakawa na kipochi manyoya???
Wewe ndo wataka kunibadilishia jinsi yangu eeeeh??? Kweli no 6 imekuvuruga[emoji13]
 
Kila nikiminya inauma tu, alafu huyu [HASHTAG]#Mane[/HASHTAG] sio mtu mzuri aisee
 
Hahahahahaha weee si umesema au nimekusingzia!!! Bana weee minya iwe tango,ndizi,karoti,kitumbua,pochi manyoya minys tu tupate majibu mubasharaaaa....... ila hiki cha leo cha arusha kimenichanganya!! Usinisemeee kwa konda mimi siko kny daladala lake[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kila nikiminya inauma tu, alafu huyu [HASHTAG]#Mane[/HASHTAG] sio mtu mzuri aisee
Hahahhaa vumilia kidogo tu italeta majibu mubashara tatizo wataalam wa kuminya ndo hawa hawa tunaowaombea njaa nahisi nao watakuwa wameminya balaa maana siyo kwa mkazo huu!!!
 
Kuwaombea hao hadi timu yetu imalizane na wakubwa wenzie ndo mana bila ya hivyo tutatwanga maji kwenye kinu.
 
Leo Tottenham kawa mtoto wa kambo hadhaminiki

Sent from my TECNO-J7 using JamiiForums mobile app
Kama nilivyosema yaani sometime wanakuwaga vilaza kweli hata hawafai.... ila duhh hongera kwake Liver kajua kuwatesa top four ila sisi ametushindwa,Chelsea kachomoa round ya pili sijui Arsenal ataweza? Man City?!!! Hapana chezea wazeee wa kukamia !!!
 
Hongera kwao
 
Mambo yameenda kombo
Ahhhh!!! Mmeniangusha bana mimi nimewapa wito mminye mmesepa hhaahhaha!! Anyway next tutachomoka tu!! Hapa siyo petu mimi nakataa kabisa please Man wenzangu be positive huyo anayesema tumerogewa hapa nita..........[emoji2] [emoji2]
 
Back
Top Bottom