Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hiz gem 4 lazima tutoboe kibabe... Tupge hao saint pale OT, tuwapge/draw Blackburn, tukienda ufaransa tukalinde ushindi wetu, turud wembley tubebe EFL, then tunapumua tukisubiri tumararue bournemouth pale nyumban... Wakati huo Liverpool na Arsenal wame draw.... Hii ndo epl GGMUFC
 
Usijali Ninakuhifadhia Hii Post Yako......
 
Manure ikirudishwa nafasi yake ya sita
ed74920da94cc5cb9b628db43f2b8f1c.jpg

Kwani ukiandika manchester united timu inashuka daraja kizur epl toka wa pili had wa 6 wameamza kupigania nafas ya nne timu kama mbili ziliipita manchester united point kumi sasa ni mbili tu wote matumbo joto jitu linakuja kimya kimya chelsea ana amani peke yake
 
Welbeck anaonesha akili za mtu mweusi tii mke kuachwa na mmewe akiwa bado anamzimia hana jins atulie tu huko kwa mzee wenger wapiganie nafas ya nne

Kuna kitu mashabiki wa arsenal wananifurahishaga sana ukimwambia utakosa top 4 anawezakukung'oa meno mwambie wewe ubingwa huwez kuchukua kamwe wanafurahi balaa wenger katia mgonjwa mbaya.
 
Haaaaaa
 
FB_IMG_1486910577241.jpg

Rio Ferdinand: "RvP said of United: ‘This place is built to win.’ I don’t get the impression like that at Arsenal & maybe the problem’s getting worse"
 
View attachment 469846

Micheal Owen: "Ander hererra is the best ball winning midfielder in the league."

-RS

Huyu jamaa sio wa kawaida kwa kupora mipira hakina nguvu wala mbio ni skills tu kupata namba kwa mourinho kwa nafas anayocheza ni noma sana.

Muna Kila Sababu Ya Kumshukuru na Kutomsema Vibaya LVG kwa Sababu Ya Usajili Huu..... Sio Yule Aliyewaletea Fella.....
 
Huyu hakusajiliwa na van gaal alimkuta kishasajiliwa na wakina sir bobb chalton manchester united walipotolewa na athletic club europa sir alex alipigana sana kumsajili jama waligoma wakaambiwa warud mwakani walianza kumtaka kabla ya sir alex hajasepa
 
Mata: "My boot was half off, half in when I scored so, when I started to celebrate, it came out. It’s a good advertisement for adidas!”
 
hatar sana huyu mtu nakumbuka alikuwa anakaa bench sana lakin mashabiki walikuwa wanaumia sna hawaamini kama kanatakiwa kukaa bench lakin van gal kocha alishindwa kumtambua chek mourinho alichofanya na kwa rojo tungeumia kwa van gaal

Aliwapigisha kwata scholes na giggs walicheza katikat game ya pili pale old trafod
 
Naikumbuka ile game ya Europa tulifungwa OT 3-2..Herrera, Fernando Lorrente, J.Martnez, dogo Munian walitutesa sana 1st leg...Nikajua wamebahatisha 2nd leg kwa kujiamini nikatipiaga stake ya kutosha tu(Bet), ***** tukalala tena..HATS OFF
 
Martnez na hererra pale kat waliupiga mwingi sana old trafod kule mbele lorrente ilikuwa ni balaa mm mwenyewe sikuamini game ya kwanza kwa jins alivyokuwa na umbo dogo halafu yupo katkat nkajau vimeotoea sir game ya pili alimtia scholes na giggs ikawa balaa zaid mkuu
 
wakuu...tuko vizuri sana!!tofauti yetu na mtu wa nafasi ya pili ni pointi 2 tu huwezi kuamini!!!halafu naona mwisho wa siku tunaweza kumaliza msimu na makombe matatu au mawili
 
Naikumbuka ile game ya Europa tulifungwa OT 3-2..Herrera, Fernando Lorrente, J.Martnez, dogo Munian walitutesa sana 1st leg...Nikajua wamebahatisha 2nd leg kwa kujiamini nikatipiaga stake ya kutosha tu(Bet), ***** tukalala tena..HATS OFF
Martinez anaozea benchi bayern huko
 
Back
Top Bottom