Nafasi yetu ipo juu kule. Naamini tutapanda soon tuAhhhh!!! Mmeniangusha bana mimi nimewapa wito mminye mmesepa hhaahhaha!! Anyway next tutachomoka tu!! Hapa siyo petu mimi nakataa kabisa please Man wenzangu be positive huyo anayesema tumerogewa hapa nita..........![]()
![]()
Uko sawaMsimamo baada ya mechi 14
View attachment 469617
Msimamo baada ya mechi 25
View attachment 469613
Pamoja na kwamba bado tupo nafasi ile ile lakini perfomance ya timu imeongezeka sana na tupo nafasi nzuri sana ,linganisha idadi ya magoli tuliyofungwa,tuliyofungwa na goal difference baada ya mechi 14 na baada ya mechi 25
Unaona sasa ambavyo hunitembelei hadi jina langu umesahau hahahah Shemejiiiii!!!! Mambo vipiiii?GGM
Cc @evarlenk
Tuna mechi 4 against wapinzani wetu Man City,Arsenal ,Spurs na Chelsea kwa sasa hatupaswi kupoteza hizi mechi na hizi game karibia zote zinachezwa mwezi May so tunapaswa kutopoteza mechi.Uko sawa
Top four is reachable but we have to reach it our selevs na hiyo ndio task iliyo baki
Too many draws zilikuwa setback
Lets wait and seeTuna mechi 4 against wapinzani wetu Man City,Arsenal ,Spurs na Chelsea kwa sasa hatupaswi kupoteza hizi mechi na hizi game karibia zote zinachezwa mwezi May so tunapaswa kutopoteza mechi.
Can you????Tuna mechi 4 against wapinzani wetu Man City,Arsenal ,Spurs na Chelsea kwa sasa hatupaswi kupoteza hizi mechi na hizi game karibia zote zinachezwa mwezi May so tunapaswa kutopoteza mechi.
Umbinye mpaka....Ahhhh!!! Mmeniangusha bana mimi nimewapa wito mminye mmesepa hhaahhaha!! Anyway next tutachomoka tu!! Hapa siyo petu mimi nakataa kabisa please Man wenzangu be positive huyo anayesema tumerogewa hapa nita..........![]()
![]()
SelevsUko sawa
Top four is reachable but we have to reach it our selevs na hiyo ndio task iliyo baki
Too many draws zilikuwa setback
Thats not cool
unadhani Mou halifahamu hilo?By jumatano tutakuwa tunafikisha siku 100 tukiwa katika nafasi ya 6
Nilichogundua ni kuwa ligi ya EPL haitakiwi usubiri watu washuke, inatakiwa ujibebe mwenyewe na ndio some times man utd inapo kosea.
Japo gap lime punguzwa na chance ya kushika namba ya juu zaidi ya 6 ipo, we must carry ourselves there, i hope hatutua poteza point siku ambayo tunahitaji kupanda zaidi.
Wewe dada uko positive sana.Ahhhh!!! Mmeniangusha bana mimi nimewapa wito mminye mmesepa hhaahhaha!! Anyway next tutachomoka tu!! Hapa siyo petu mimi nakataa kabisa please Man wenzangu be positive huyo anayesema tumerogewa hapa nita..........![]()
![]()
Yani daah nimekuwa adimu saana.Unaona sasa ambavyo hunitembelei hadi jina langu umesahau hahahah Shemejiiiii!!!! Mambo vipiiii?
Duh tukishinda game hata mbili kwenye hizo hapo na tuka draw mbili tutakuwa tumejitahidi saana ingawa naombea tushinde zoteeTuna mechi 4 against wapinzani wetu Man City,Arsenal ,Spurs na Chelsea kwa sasa hatupaswi kupoteza hizi mechi na hizi game karibia zote zinachezwa mwezi May so tunapaswa kutopoteza mechi.