Kisu Cha Ngariba
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 22,133
- 48,851
Hiki ndio tulikua tunaitaji mda mrefu,watu watakao tupatia matokeo na sio kumetegemea Ibra mwenyewe.
GGMU



GGMU








Niombeee nami utabiri wangu utimie baada ya hapo mimi na wewe tutafungua kanisa sawa eeeehhh!!!!!Utabiri wangu jamani umetimia
Nimeanza kuwa mtabiri siku hizi![]()
![]()
![]()
Game limeanza yaani nakuunga mkono hapa ni United vs kisima cha maini...To dare is to do the game is about glory
Vs
You'll never walk alone
Mata anajuaSijui ni hisia zangu lakini mimi naona mata anajua sana kujiposition kwenye 18 na kufunga.
Game limeanza yaani nakuunga mkono hapa ni United vs kisima cha maini...
The special Juan + The special OneSijui ni hisia zangu lakini mimi naona mata anajua sana kujiposition kwenye 18 na kufunga.
Wana kazi sana ya kupanda mnara wa babeli. Ndio timu ya kwanza uingereza kufikisha point 2000 angalia wengine wako mbaliiiiiiiiiiii sana ggmu![]()
Halafu wanataka wamuibe tena De Gea wetu yaani washindwe na kulegea kabisaaaaaa!!! Uzuri hata Pesa sisi tunayo yaani katika kazi ambayo sitakusahau LVG ni hiii,yaani hii huwa inanifanyaga nakusamehe makosa yako yoteeeee!!!!de gea kaokoa goli nyingi leo
Ila wameanza na kasi hao, wameikamia sana gameIla naomba liver ifungwe
Ngoja tuone baada ya dakika 90Ila wameanza na kasi hao, wameikamia sana game
Kweli tuendelee kuomba dua,sometime Totenham wana vitu amazing ingawaje sometime wanakuwa vilaza wa ajabu!!!Ngoja tuone baada ya dakika 90