Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

hivi wapi naweza kupata statistics za pogba kagusa mpira mara ngapi ktk mechi hii!??kila mara anagusa mpira jamaa
 
Ibra angekuwa makini angepiga bao ila nao Wat,wameshindwa tumia nafasi zao huyu Niang anajitahidi lakini wenzake hawapo makini
 
Man wanahitaji goli la tatu kuwaziba hawa jamaa...wakipata moja wataweza lazimisha droo maana naona sasa wanatiririka mno
 
Back
Top Bottom