Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,254
Free kick Watford eneo nyeti
Ruta liver in saw 2:30Liverpool hatima yake kujulikana usiku SAA NNE unusu baada ya kucheza na Spurs
Doroo inawatosha bado hatushushi wakishikana mashatiLiverpool apingwe tu ......leo
Ndiyo lengo kupashana habariDaah mkuu Ruta umetisha [emoji120] kwa ambaye hakuwa karibu na tv utakuwa umesaidia sana
Bao swafi sana sijui Mourhnio kama atamkubali
Hope atamkubali leo kacheza vizuriBao swafi sana sijui Mourhnio kama atamkubali