Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

sina la kuongeza....nasubiri mechi yenu na Barca manake wao ni pasi na magoli na kumuindoa mtu kwenye kinyang'anyiro cha UEFA!
Barca dawa yao tunacheza nao kama tulivyocheza kwenye semi ya 08...!!
 
Hivi United wanataka magoli gani???mechi ya kushinda hii hata 4
 
Tushapata mrithi wa VDS....hyu Nuer ni Noumer...aya , wap pop coni?
 
michelle
Unajifanya mbishi ehh?, dawa yako iko jikon...
ikichemka niite....l.o.l

<p>

Karibu first lady wetu wa ukwel...nakwambia kuna shosti anaitwa Michelle kaomba lift na honi anataka kupiga...apa yupo kubadili CD kwa gar....wa wap hyu?, njoo umsute mama...
BJ wa ukweli hana tabia za kusuta...Michelle ni wa Arsenal na Wolves.....lift nimepewa na honi nitapiga na CD nitabadili...vipi leo bundi yuko kwenu nini? manake magoli mliyokosa hata ingekuwa Arsenal yangu ingekuwa nayo 5....l.o.l
 
Ukiona Hernandez anakosa sitters ujue sio tiku yetu kudadeki!!
 
Simchezo naona man united wanazurula tu uwanjani leo lol.

Mmejitahidi wakuu kushambulia kipa wa schalke noma.

I salute that goalkeeper........mshauri baba yako AW aache ubahili basi....achukue vijana wa ukweli

yaani MAN U leo wanachekesha.....em tusubiri hicho kipindi cha pili
 
Heheh Neuer anaconduct interview yake vizuri sana mbele ya SAF leo...!! Hii mechi ishaanza kunipa feelings za mechi yetu dhidi ya Dortmund..!!
 
game limepooza sana na Man U wanakosa magoli hovyo hovyo utafikiri ni timu ya mtaani bwana! game ni mapumziko na sasa ni bila bila.
 
Hana lolote huyu kipa anabahatisha tu, ka mnabisha subirini 2nd time.,
Check alichemka atakuwa huyu..., thubutuuuu, hawa ndo Mashetani tena wekundu...!!
 
Back
Top Bottom