Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

huwa nawanga hadi leo mtu kanitolea uvivu eti niondoe kiwingu....siku za mechi ngumu hauko hapa leo umeona hawa mwaweza funga uko hapa.....hii timu ina bahati sana ilipaswa kuwa imefungwa tatu hadi sasa.....go go Schalke!:frusty:
Kama alivyosema mfarisayo usipende kuchagua vibovu lol
 
WTF....kwa Arsenal ile ni kawaida yetu....kwa MAN U inaonyesha kiwango kushuka...l.o.l.
Tangu 2002 tunasikia "Manchester United in decline"... Kwa Arsenal ni kawaida yenu chenga nyingi magoli mengi lakini mnaambulia point moja. sie goli moja point tatu chenga chache.
 
michelle
Unajifanya mbishi ehh?, dawa yako iko jikon...
 
this is not good aisee..these misses might haunt us...hawa jamaa ni wa kuchapa hata 2 za fasta...hizi kosakosa zinakua gundu...
 
Naam tupo!!..Maure tupe raha!! wanga wameshajaa mapema hii,lol..mnajijua eeh🙂)ha ha
 
ha ha ha ha...kinachowashinda MAN U kufunga ni nini? Inakera sasa!
 
Nataman tufungwe...may be tuta capitalise opportunites tunazopoteza...
 
this is not good aisee..these misses might haunt us...hawa jamaa ni wa kuchapa hata 2 za fasta...hizi kosakosa zinakua gundu...
Hii ngoma kadri inavyoendelea kuwa 0-0 inawapa confidence, hawakawii kupaki basi na kutuvizia kwenye counter attack, ila tuache utani Manuel Neuer mzuri dah!! yani kilicho kati yetu na Wembley ni Neuer of course na performance yetu.
 
<p>
Naam tupo!!..Maure tupe raha!! wanga wameshajaa mapema hii,lol..mnajijua eeh🙂)ha ha

Karibu first lady wetu wa ukwel...nakwambia kuna shosti anaitwa Michelle kaomba lift na honi anataka kupiga...apa yupo kubadili CD kwa gar....wa wap hyu?, njoo umsute mama...
 
Hii mechi Berbatov angekuwa anacheza on his good day angeshapata goli mbili.
 
Tangu 2002 tunasikia "Manchester United in decline"... Kwa Arsenal ni kawaida yenu chenga nyingi magoli mengi lakini mnaambulia point moja. sie goli moja point tatu chenga chache.

sina la kuongeza....nasubiri mechi yenu na Barca manake wao ni pasi na magoli na kumuindoa mtu kwenye kinyang'anyiro cha UEFA!
 
Back
Top Bottom