Oxlade-Chamberlain
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 8,635
- 2,209
Ha ha..nilijua depression bado na majonzi ya Arsn!!nipo, sijajificha wala nini... niandalie hiyo CPR ila unaweza usiitumie leo!! mwendo mdundo mechi hii!!
Majonzi yameisha zamani, si unajua matatizo ya kizidi mtu unakuwa sugu na kuyazoea lol.
Naona kweli kabisa leo hapa uko salama na ndio maana umejitokeza tangu mapemaaaaaa lol, nakukubali sasa kwa kusoma game lol.