Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hii approach ya SAF nzuri hakuna haja ya kurush vitu...mambo taratibu mpaka tuwafungue hawa.
 
Jaman...aya mapasi ya Assholes sisi ya nn?, tunapiga pasi hadi kwenye 6?
 
Michelle...
Huna nguo za husband za kunyoosha?, zako je?, mtt umempikia uji?, pampas umembadil?, nguo zake safi?, umetinda nyusi?, seti nywele?, andaa nguo za SHEM za kesho?, watt je?
uji anao?,amekula umedeki..?..kalale bana upunguze kiwingi apa....
akufukuzaye hakuambii toka....sina mume jamani.....nafurahia uhuru wangu hadi hapo....sikujua nakukera hivi? bado nipo nipo sana Manda

Michelle
Good to see ya as well..ila sinaga mazoea na ww...nkome mwana wa mwenzio...LMAO!
sitakukoma labda uhame JF....tuko pamoja!:smile-big:
 
Naona una wanga lol

huwa nawanga hadi leo mtu kanitolea uvivu eti niondoe kiwingu....siku za mechi ngumu hauko hapa leo umeona hawa mwaweza funga uko hapa.....hii timu ina bahati sana ilipaswa kuwa imefungwa tatu hadi sasa.....go go Schalke!:frusty:
 
izi kosa kosa si mzuri...we must score soon to have an away goal
 
jamani mwenye link ya web inayoonyesha live hii match naomba aiwekee hapa!
 
Schalke 04 wasitake kuleta mambo ya smash and grab...Hernandez angekuwa na hat trick by now.
 
Back
Top Bottom