Ubumuntu
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 14,382
- 10,951
*Ishu siyo inshuInshu nikutoka nafasi aliyopo
*Ishu siyo inshuInshu nikutoka nafasi aliyopo
Hilo linahitaji fikra huru kugundua. Kama fikra imejaa ushabiki maandazi hawezi kuona tofauti.Wako palepale ila tofauti ya point imepungua sana kulinganisha na majuma machache yaliyopita.
Hilo linahitaji fikra huru kugundua. Kama fikra imejaa ushabiki maandazi hawezi kuona tofauti.


Tatizo ulaya ila kwa hapa nyumbani mimi na weye chama moja jangwaniYeah...sio mbaya kuwatembelea majirani zetu![]()
Wewe lini umewahi kugundua tofauti kwa wengine?Hilo linahitaji fikra huru kugundua. Kama fikra imejaa ushabiki maandazi hawezi kuona tofauti.
.Bora hivi tulivyokuwa wamoja nyumbani...kumbuka nyumbani ndio zaidi kwingine tunaiga/kujipendekeza tu.Tatizo ulaya ila kwa hapa nyumbani mimi na weye chama moja jangwani

Ajabu sana mrembo smart kama wewe kuangukia timu mbovu!Wewe lini umewahi kugundua tofauti kwa wengine?
Mazuri yote ni ya Man U pekee.
Hakuna mfia timu kama wewe.
Mkuu ninavyoipenda Arsenal... Siwezi kabisa kuelezea.Ajabu sana mrembo smart kama wewe kuangukia timu mbovu!
Nina pasua kichwa mmoja mshabiki wa Chelsea tumepinga wakichukua ubingwa namvalisha pete!Mkuu ninavyoipenda Arsenal... Siwezi kabisa kuelezea.
Pamoja na ups & downs zote sijawahi kujutia kuipenda Arsenal maishani.
Hivyo basi ukipata mdada shabiki haswa wa Arsenal oa fastaaaa,tu wavumilivu na wenye mapenzi ya dhati.
![]()
![]()
![]()
Seriously.
Hahahahahaaaaa si jana tu nimekudaka somewhere unasema.....lolNina pasua kichwa mmoja mshabiki wa Chelsea tumepinga wakichukua ubingwa namvalisha pete!
Aaaah wapi hapa najiuliza nikamhonge Conte, Costa, Hazard au Kante auze timu?!Hahahahahaaaaa si jana tu nimekudaka somewhere unasema.....lol
That's good then,japo ubingwa nautaka ila wakishinda Chelsea sio mbaya ahadi yako ipate kutimia.
Usijepata cheo cha 'senior bachelor' teh
Swadakta kibaya chako na ukarimu huanzia nyumbani kabla ya vilabu vya ulaya tulianza kushabikia hivi kikwetu kwetu .Bora hivi tulivyokuwa wamoja nyumbani...kumbuka nyumbani ndio zaidi kwingine tunaiga/kujipendekeza tu.
Huwa nawashangaa sana wanaotuponda tunaoshabikia mpira wa nyumbani.
BTW hivi jana mikia matokeo yao vipi?Sina khabari kabisa![]()
Ndugu yangu the bold kapata jiko hapa kwa uvumilivu huu !Mkuu ninavyoipenda Arsenal... Siwezi kabisa kuelezea.
Pamoja na ups & downs zote sijawahi kujutia kuipenda Arsenal maishani.
Hivyo basi ukipata mdada shabiki haswa wa Arsenal oa fastaaaa,tu wavumilivu na wenye mapenzi ya dhati.
![]()
![]()
![]()
Seriously.
Huu sasa uonezi kila man u wakishinda wapo pale pale wakate rufaaa bac
Yote hayo ili usimvishe pete huyo mrembo?Aaaah wapi hapa najiuliza nikamhonge Conte, Costa, Hazard au Kante auze timu?!
Hakika mkuuNdugu yangu the bold kapata jiko hapa kwa uvumilivu huu !

huu sio uchokozi ni uchochezi.
Nifah Nimekumisije Naona Uwepo wako Umezidi kunogesha jukwaa![]()
![]()
![]()
huu sio uchokozi ni uchochezi.
Halafu wanajikausha kama hawajaona vile![]()

