Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

That was quiet a piece of comeback we used to see during fergie's era. We have regained the fear factor football once wasted by Moyes and lvg. For the first time,I salute Martial's performance. Happy birthday SAF,Wish you fellaz a prosperous new year 2017!
 
Au wamtoe bure na mshahara waendelee kutoa wao, alimradi tu, asiwepo man utd, maana akiwepo anaweza pata namba kama bahati ya leo.
Huyu mtu msimu uliopita penye FA cup katoa pasi ya kusawazisha bao na kuna mengine mengi tu mazuri kafanya leo basi tuwe na mioyo ya kiuanamichezo na ustahmilivu pia
 
c50aa3b12941237bf2939d89bd22d87f.jpg
Ya kawaida sana hii amna kitu cha maana amefanya apaa...
 
Hapa tuna kazi na west ham kisha liver tukishinda hapo naamini tutakuwa tumeingia top four mana leo liver na city wanapunguzana kesho arsenane anapotea kisha j3 kuna totenham na chelsea
 
Kwanza hiki kijamaa ni timu gani?Kisije ikawa kinatafuta umaarufu tu hapa. Kama ni shabiki wa timu ingine si aende kwenye jukwaa lao?
 
Back
Top Bottom