Chrizo
JF-Expert Member
- Jan 8, 2011
- 714
- 792
Wewe Middle walikufanya nini? Siulishinda goli 1 tena la bahati?
Lilikuwa la mkono
Wewe Middle walikufanya nini? Siulishinda goli 1 tena la bahati?
na point tatuLilikuwa la mkono
Unataka kuharibu furaha yako bureWewe Middle walikufanya nini? Siulishinda goli 1 tena la bahati?
Comment ya kufungia mwaka. Happy new year mkuu.Kazi ya pesa ni kutatua matatizo asante Pogba.
Lakini fella china hawamuoni watoe ofa kwa kweli.
Mkuu kuna mahali sisi ni wapinzani Lakini hapa tupo pamoja. Heri ya mwaka mpya mkuu.Unataka kuharibu furaha yako bure
Asante sana mkuu na kwako pia.Comment ya kufungia mwaka. Happy new year mkuu.
Duh ! wacha tuendelee hivi hivi kule kubaki kule ila inapendeza kuona hapa tumejumuika pamoja kheri ya mwaka ndugu yangu wa hapa mpinzani wa kuleMkuu kuna mahali sisi ni wapinzani Lakini hapa tupo pamoja. Heri ya mwaka mpya mkuu.
Mkuu.. ungeniambia tu kistaarabu bila kutumia maneno ya kuudhi nadhani ingekua bora zaidi.. anyways HAPPY NEW YEAR 2O17Acha kuongea uozo.wewe huon tuna chances nying sana na valdes amekuwa msaada mkubwa sana kwa boro.
Na ndio mechi iliyomfanya pogba aondokeDuh leo ahhh happy birth Babu nakumbuka kuna mwaka siku ya Leo tumefungwa na Blackburn
Au wamtoe bure na mshahara waendelee kutoa wao, alimradi tu, asiwepo man utd, maana akiwepo anaweza pata namba kama bahati ya leo.Huyu Felaini si wampeleke kwa mkopo Mwadui FC
Yaah umesema vyema ingawa nadhani jamaa alikuwa hot waqt jamaa wanaongoza ila kauli yako bado ni nzuri kwangu na imekaa ki Manchester United zaidi kheri ya mwaka kwakoMkuu.. ungeniambia tu kistaarabu bila kutumia maneno ya kuudhi nadhani ingekua bora zaidi.. anyways HAPPY NEW YEAR 2O17