Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

ebccb9fab97d7367178610acb33fdc00.jpg
 
Middle anawatoa jasho ivoo ...hahaha ilkuwa mimba ya ilee ....timu bado mbovu sanaa
 
Dah! Ila huyu mourhino atatuua na Fellaini wake. I have a mixture of emotion
 
Hongereni Wakuu humu nilidhani mmeshapigwa tena. everlenk, BelindaJacob na wengineo wote wadau wa jukwaa hili la MANU. Heri ya Mwaka mpya wa 2017.
Kwako pia labda nikwambie leo siku zote mimi hukuona wewe kuwa ni mwanamichezo wa kweli na hata huwa nikija kwenu tunajadili kiuwanamichezo pongezI kwako (bubu ataka kusema )Al maarufu BAK heri ya mwaka mpya
 
Hivyo ndivyo inatakiwa iwe Mkuu. Ushabiki wa mpira haupendezi bila ya wapenzi na washabiki kutaniana na kupigana vijembe kuhusiana na timu zao.

Back
Top Bottom