Hii ndio Man United ninayoijua
Hakuna kukata tamaa..
Fergie time. Leo kapewa zawadi nzuri sana ya Birthday yake.
zawadi sana. Huku tunafunga mwaka Kwa furaha.Ninamwamini sana!!Martial leo yupo vizuri
Huyu valdes utadhani tumekutana barabarani ! kapiga kazi sana ila jana nilisikiliza interview ya ibra akasema kuna assist nyingi zinakuja leo inadhihirikaAcha kuongea uozo.wewe huon tuna chances nying sana na valdes amekuwa msaada mkubwa sana kwa boro.