happy birth babu
happy birth babu
Happy new year my man ice man,The game was very good, hata tulivo fungwa nilidhan hatustahili kufungwa mechi hii.
Martial was amazing, karibu kila mchezaj nampa 6-8/10, kumaliza mwaka kwa ushindi ni jambo jema.
Happy Birthday Sir Alex Ferguson
Nawatakia mwaka mpya mwema washabiki woote wa united regardless of our differences we are all united fans.
Ahsanten
Cc herrera
Anastahili huyu mtoto
Refa alituhujumu hapa.
Refa alituhujumu hapa.
Huyu mzee tumuache tu apumzike tukiangalia hayo mataji aliyotwaa unabaki kujiuliza nani wa kuleta japo robo ya alichokifanya huyu mzee
nashukuru Mungu nimeuonaHappy 2017 sister.
Hata mimi namshukru Mungu, maana nimeuona.nashukuru Mungu nimeuona
Leo Liver analiwa za kutosha
Smalling Yule n wabench halaf fellain atafute timuFellaini & Smalling wameniboa sana leo ... Blind najua udhaifu wake, ni wa kumhurumia tu.