Kisu Cha Ngariba
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 22,133
- 48,851
Mkuu ni maamuzi ya kusudi kabisa. Pundits wote wamekubaliana kwamba ni clean goal. Refa wa zamani Howard Webb amesema ni crazy decision kukataa hilo goli.Hawa marefa vimeo wanaendelea maamuzi mabovu against United,Mourinho akilalamika anafungiwa makocha wengine wanalalamika FA kimya
Leo kapiga mpira mwingi sana huyu Martial
Most decision zilikuwa against United,Martial amechezewa rafu ambayo alipaswa kupewa penatiMkuu ni maamuzi ya kusudi kabisa. Pundits wote wamekubaliana kwamba ni clean goal. Refa wa zamani Howard Webb amesema ni crazy decision kukataa hilo goli.
Happy 2017 sister.nimefurahi kwa ushindi, happy new year kwenu wote.
Dogo kapiga mpira mwingi sana