Lee Cho in
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 941
- 693
Game saa ngap mkuuWakuu it's a match day, ushindi ni muhimu. Happy boxing day
Game saa ngap mkuuWakuu it's a match day, ushindi ni muhimu. Happy boxing day
Game saa ngap mkuu
asante mkuu game ikiaanzan naomba unisaidie linkKwa saa E.Africa ni saa 12 jioni.
asante mkuu game ikiaanzan naomba unisaidie link
asante ubarikiwe mkuuLink hiyo hapo http://www.totalsportek.com/manchester-united-live-stream/
Kama unatumia android phone unaweza kudownload app inaitwa mobdroo link hii hapa Mobdro APK 2017: Download Mobdro Apk (App) for Android
Hapo utaweza kuangalia mechi karibia zote kupitia sky sport,bt sport na bein sport.
Man Utd XI vs. Sunderland: De Gea; Valencia, Jones, Rojo, Blind; Carrick, Herrera, Pogba; Mata, Ibrahimovic, Lingard.
Subs: Romero, Darmian, Smalling,
Fellaini, Mkhitaryan, Martial, Rashford
Timu inacheza vizuri tatizo liko upande wa kulia,Mata analazimisha kucheza namba 10.Upande wa kulia hakuna mtuMmh! Mbona Leo hatuko kwenye form??
asante ubarikiwe mkuu
Msimu huu juan mata amekua mzuri kuliko ozil, atakaebisha basi lazima atakua either shabiki wa mr bean au mlevi au vyote kwa pamoja
