Guasa Ambonii
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 8,545
- 10,296
Yaah wame qualify katika kundi lao kuna ligi flan inahusisha timu za ulaya juzi kati waliwafunga spartak plugue na kutoka sare na Middlesbrough alkhamisi so wanaenda robo fainali .Hivi hii timu ya u23's tokea apewe Nick Butt imewai kushinda?