Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Transfer Update:
1.Morgan Schneiderlein anaenda Everton £24milion

2.Memphis Depay huenda akaondoka kwa mkopo kukiwa na option ya kuuzwa mwisho wa msimu,kuna timu nyingi zinamtaka toka EPL na Serie A
 
Transfer Update:
1.Morgan Schneiderlein anaenda Everton £24milion

2.Memphis Depay huenda akaondoka kwa mkopo kukiwa na option ya kuuzwa mwisho wa msimu,kuna timu nyingi zinamtaka toka EPL na Serie A
aiseee huyo depay ni bora atolewe kwa mkopo sio auzwe
 
Huyu depay tusije fanya makosa kama ya Diego forlan aisee atoke kwa mkopo tu kama januzaj
 
Mimi binafsi naona mourinho atajilaumu kuwaondoa Morgan na depay haswa Morgan maana siku pogba na Herrera wakiumia ndo atajua umuhimu wake
 
mi sioni kama kuna shida viungo tunao wengi sifurahishwi na kutokucheza kwa beckham wa ujerumani
 
Wale vijana wa nick butt naona tuna hazina nzuri kule hupata muda wa kuwatizama na na burudika kweli na kuona huko mbele hatuta tetereka
 
6bcf96c2f2a3a114c33fd9cfe16c6de5.jpg
d2e55b6646438673954ac142d384ecf0.jpg
Victor Lindolf.
 
Everton have made £ 40m bid for Morgan Schneidelin & Memphis Depay
 
Wale vijana wa nick butt naona tuna hazina nzuri kule hupata muda wa kuwatizama na na burudika kweli na kuona huko mbele hatuta tetereka
Tatizo wanaweza ishia hukohko au utawaona katika team zingine kama kina Josh King, Mike Kean na wengine....

Kuna yule black anavaa jezi namba 8 mzuri sana namfuatilia nijue mwisho wake
 
Tatizo wanaweza ishia hukohko au utawaona katika team zingine kama kina Josh King, Mike Kean na wengine....

Kuna yule black anavaa jezi namba 8 mzuri sana namfuatilia nijue mwisho wake
Yaah yule mmatumbi yupo vizuri halafu kuna
fullback ya kushoto matata sana juzi alipiga bonge la bao na kuna mkoba huo upo poa sana ndio nahodha yao na pia pana mido moja naifananisha na nick butt mwenyewe kiukweli pana hazina pale . Kuhusu kupotelea huko inategemea na viwango vyao kama anakuwa vizuri mbona fosu tunae leo sera hiyo ndio imembeba butt , giggs , brown , neville brother's , Beckham , scholes so sidhani kama nick halijui hilo .
 
Back
Top Bottom