Manchester leo anakaa 3-1 bishenii
Watamkubali tu Mourinyo
Utabiri wako wa kichawi umekugeukiaManchester leo anakaa 3-1 bishenii
Imeisha?
HahaGoli la mikh ni la misimu sita ijayo
Manchester kuchukua ubigwa msim huu ni sawa na maji kupanda mlima ...kitu ambacho hakitakaa kitokeeeMan united ni zaidi ya timu zote England usishangae na ubingwa wakabeba!
Timu bado mbovu sanaa ..Utabiri wako wa kichawi umekugeukia