Unataka mtoto wa miaka 18 awe straika wako namba moja?Baada Ya Kuanza Msimu Kwa Mbwembwe Na Sasa Hivi Anasugua Benchi!! Taratibu Namuona Rashford Anaruine His Dream Kama ilivyokuwa Kwa Kina Januzaj na Chicharito....
yaahh yule ana kasi sanaTunahitaji kufunga magoli mengi hii game,akiingia Mkhitaryan magoli yatapatikana
Sent from my NokiaX2DS using JamiiForums mobile app
Uchawi wako utashindwa tu hapaManchester leo anakaa 3-1 bishenii
Labda Manchester ya LumumbaManchester leo anakaa 3-1 bishenii
Pogba kaja Uingereza kujiabisha tu ..bora angebaki zake Italia