Kwani haiwezekani? Ligi ipo wiki ya 12. Bado wiki 26. Na United ipo points 9 nyuma ya anayeongoza ligi. Sasa sioni kama alichokisema Zlatan hakiwezekani!Go drunk Zlatan, you are home!
Ashaanza kujitoa fahamu mapema iviKwani haiwezekani? Ligi ipo wiki ya 12. Bado wiki 26. Na United ipo points 9 nyuma ya anayeongoza ligi. Sasa sioni kama alichokisema Zlatan hakiwezekani!
Kwa uwezo upi walionao?labda wadroo leoNilikuwa naomba kuuliza. Hivi mpaka sasa "united" mna point ngapi katika game zenu 12 mlizocheza? Ni kweli hamjafikisha point 20?
Nilikuwa naomba kuuliza. Hivi mpaka sasa "united" mna point ngapi katika game zenu 12 mlizocheza? Ni kweli hamjafikisha point 20?
Sijauliza vikombe. Nimeuliza point.![]()
Yapo 13 kwenye kabati yetu, nyie yapo mangapi?
Nijibu kwanza hilo, nawe nitakujibuSijauliza vikombe. Nimeuliza point.
Naye hajaongelea point, kaongelea vikombe!Sijauliza vikombe. Nimeuliza point.
tunashinda leoKwa uwezo upi walionao?labda wadroo leo
poa. Haya wewe niambie mpaka sasa mna point ngapi?Naye hajaongelea point, kaongelea vikombe!
Nenda google braza...kama unayo akili ya kuandika post hapa, naamini unazo akili za kutosha kutumia google ili upate jibu.poa. Haya wewe niambie mpaka sasa mna point ngapi?
Kwani ni sheria kufikisha point 20 baada ya game 12?Nilikuwa naomba kuuliza. Hivi mpaka sasa "united" mna point ngapi katika game zenu 12 mlizocheza? Ni kweli hamjafikisha point 20?
Sijasema hivyo...ngoja niende Google kama mkuu Nzi alivyonishauri.Kwani ni sheria kufikisha point 20 baada ya game 12?