Manchester United (Red Devils) | Special Thread

walitakiwa kudungwa zisizopungua 3, miaka yote goli nyingi huwa tunapata kwa hawa jamaa, sikuiwazia draw kabisa. Anyway bado tupo juu, nasubiria kwa hamu game lenu, nawatakia kheri.

Mkuu siunajua timu nazo zina badirika.wamejituma sana new castle na man united wachezaji wamechoka mechi nyingi.
 
Kitu 0-0 mwanangu, sasa hapa ngoja nim-tweet fabregas kumpa matokeo manake hata sidhani wakijaga uwanjani wanajua nini kimewaleta lol.

Nguvu zote kesho tuone reaction ya wachezaji wetu . Noma sana mwaka huu kutoka bila bila kwa style hii.

Kinachofurahisha ni jinsi Arsenal watakavyowasikitisha hiyo kesho muishie kumshambulia AW!!..mimi simo!

Mechi ya leo imeniboaa vibaya..khaa!!
 
Nilikuwa nacomment kwenye post yako maana umegusia mechi ya kesho....relax, it's just Yids tomorrow....hahahahaha!

Mimi niligusia tu juu juu naona wewe umekuja na conclusion kabisa lol. Haya mtani usije ukanasa kwa birmingham na wewe? Manake sasa hivi mnatafuta sababu ya kumfukuza kocha tu lol
 
ManU wakicheza hivi mechi zilizobaki wasahau ubingwa....Inaonekana kile kipigo cha Citeh bado kiko vichwani mwa wachezaji. Arsenal wakishindwa tena kutumia nafasi hii inakula kwao.
 
Kinachofurahisha ni jinsi Arsenal watakavyowasikitisha hiyo kesho muishie kumshambulia AW!!..mimi simo!

Mechi ya leo imeniboaa vibaya..khaa!!

Pole sana BJ, wachezaji wamechoka ,mechi nyingi sana na castle wamepiga mpira mapepe yao tu ndio yamewafanya wakose point 3.

Kesho kufa na kupona.
 
ManU wakicheza hivi mechi zilizobaki wasahau ubingwa....Inaonekana ile kile kipigo cha Citeh bado kiko vichwani mwa wachezaji. Arsenal wakishindwa tena kutumia nafasi hii inakula kwao.

Na everton wako powa sana lazima watawapa draw nyingine tu.

Kesho tukiaribu inabidi fans watembeze bakora tu.
 
Pole sana BJ, wachezaji wamechoka ,mechi nyingi sana na castle wamepiga mpira mapepe yao tu ndio yamewafanya wakose point 3.

Kesho kufa na kupona.

Thanks AW, acha nikitoe kabla Wacha1 hajaja na analysis zake mana anaua kweli jamaa!!...kesho na nyie msiendeleze malalamishi, vijana wawape raha!!!..ila Arsenal hawatabiriki kabisa, kwenye matarajio/mategemeo muhimu ndiyo wanaangusha vibaya!! Ila who knows, tuone 2mr!!
 
Mimi niligusia tu juu juu naona wewe umekuja na conclusion kabisa lol. Haya mtani usije ukanasa kwa birmingham na wewe? Manake sasa hivi mnatafuta sababu ya kumfukuza kocha tu lol

Hahahaha, Carlo yuko safe!
 
giggs missed a sitter, rooney missed a sitter...when that happens unajua sio siku yenu! Anyway tusubirie everton.

Kinachofurahisha ni jinsi Arsenal watakavyowasikitisha hiyo kesho muishie kumshambulia AW!!..mimi simo!

Mechi ya leo imeniboaa vibaya..khaa!!

...poleni sana. Kila msiba una mwenziwe.
Mlianza na Man Citeh, leo Toons Army, next -Everton....(bado mmoja ili utatu ukamilike)

It's only a game.
 
ManU wakicheza hivi mechi zilizobaki wasahau ubingwa....Inaonekana ile kile kipigo cha Citeh bado kiko vichwani mwa wachezaji. Arsenal wakishindwa tena kutumia nafasi hii inakula kwao.
Plus uchovu, ukizingatia tumecheza na nyie twice then man city maana wote mko very physical. Mechi yetu na arsenal itakuwa title decider...vile vile we could be looking at a three way race by Sunday night.
 
...Can't wait for that!
 
Thanks AW, acha nikitoe kabla Wacha1 hajaja na analysis zake mana anaua kweli jamaa!!...kesho na nyie msiendeleze malalamishi, vijana wawape raha!!!..ila Arsenal hawatabiriki kabisa, kwenye matarajio/mategemeo muhimu ndiyo wanaangusha vibaya!! Ila who knows, tuone 2mr!!
Haya lala salama.tukutane jukwaani kesho uone dogo wako walcott anavyowakimbiza lol.

Kesho nina imani kubwa sana , ngoja nisiongee sana manake maadui wamejaa hapa lol.
 
Plus uchovu, ukizingatia tumecheza na nyie twice then man city maana wote mko very physical. Mechi yetu na arsenal itakuwa title decider...vile vile we could be looking at a three way race by Sunday night.

Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeee hii timu huwa wanachoka peke yao wakicheza ugenini khe khe khe kheeeeeeeeeeee karibuni kwenye EPL khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee nasikia mmemnyoa New Castle united khe khe kheeeee refa hakuongeza muda mfunge?
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Hahahaha! Najaribu, japokuwa niko very biased.
Hahaha, ebanae ngoja niangalie Undercover Princes hapa nicheke Hasira ziishe.. Kesho ata sijui niangalie mechi gani maana el clasico pt 2 of 4 iko.
 
Chelsea wanatakiwa kushinda mechi yao ya kiporo tu - then the heat is on!!
 
Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeee hii timu huwa wanachoka peke yao wakicheza ugenini khe khe khe kheeeeeeeeeeee karibuni kwenye EPL khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee nasikia mmemnyoa New Castle united khe khe kheeeee refa hakuongeza muda mfunge?

Kaongeza dakika 11 lakini bado wametoka draw....lol
 
Back
Top Bottom