Peasant
JF-Expert Member
- Sep 27, 2007
- 3,949
- 699
Refaaaa, that was a clear foul...duh
Nope! Clear dive by Chicharito.
Refaaaa, that was a clear foul...duh
Ebanae kweli leo mzozo... Hii perfomance inachefua...
AW, pls nijulishe matokeo ya watani wangu.....!:nerd:
Refaaaa, that was a clear foul...duh
haya matokeo yanashangaza!
Disgraceful ad disgusting perfomance to be honest.
We have givene arsenal and chelsea a lifeline to the title.
Kitu 0-0 mwanangu, sasa hapa ngoja nim-tweet fabregas kumpa matokeo manake hata sidhani wakijaga uwanjani wanajua nini kimewaleta lol.
Nguvu zote kesho tuone reaction ya wachezaji wetu . Noma sana mwaka huu kutoka bila bila kwa style hii.
Angalia tena, ameclip mguu wa hernandez, kama alibuosema maca jinsi alivyoanguka ndiko kumemput off refa..ya nani ilikuwa dive, newcastle deserved a penalty..so was tiote's handballNaona Chicharito anajifunza vizuri kutoka kwa Nani! Ile ya Nani kipindi cha kwanza ilistahili yellow pia!
Disgraceful ad disgusting perfomance to be honest.
We have given arsenal and chelsea a lifeline to the title.
I want my 90 minutes back, nawahurumia waliosafiri kwenda kuangalia mechi...! Limp limp perfomace.
Kitu 0-0 mwanangu, sasa hapa ngoja nim-tweet fabregas kumpa matokeo manake hata sidhani wakijaga uwanjani wanajua nini kimewaleta lol.
Nguvu zote kesho tuone reaction ya wachezaji wetu . Noma sana mwaka huu kutoka bila bila kwa style hii.
...kwani vipi tena? what's the score?
Kesho mnashuka rasmi kwenye nafasi yenu ya tatu....lol
Mkuu tu-focus kwenye matokeo yaliotokea sasa kwanza lol .
Kivipi mkuu? Ulikuwa una matokeo gani kabla ya game? Mpira una dunda.
Hayo matokeo yatanipa usingizi....mwambie Fabregas asipofanya vizuri kesho tutamuuza kwa gharama kubwa kama Torres ila hatafurahia maisha yake kwenye timu atakayohamia......aagane na sisi kwa uzuri.....mwaka huu bora upotezee tu...mi nimeshakubali matokeo....!!
Kesho mnashuka rasmi kwenye nafasi yenu ya tatu....lol