Oxlade-Chamberlain
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 8,635
- 2,209
Umeona alichosema Fabregas kwenye interview yake na gazeti la Don Balon?
Yeah nimeona, ujumbe mzito sema powa tu mda wa kuondoka kama anaona umefika aende tu.
Umeona alichosema Fabregas kwenye interview yake na gazeti la Don Balon?
</p>Mkuu manda yupo? Au bado yuko kwenye foleni ya kuelekea st james park? Lol
Yeah nimeona, ujumbe mzito sema powa tu mda wa kuondoka kama anaona umefika aende tu.
Mfarisayo embu njoo uje uwanyazishe awa noisy wapinzani kina Wacha1 and co....wanajaza mipost kwa jukwaa yetu....
![]()
![]()
![]()
What a loser khe khe kheeeeeeeeeeeeeee
Yule kocha mwendawazimu nae, yeye anajua sftyle yake haiendani na yule kwanini alimchukua? Mancini kutwa anawaza kuja midfielder wa kukaba tu lol
sawa mrithi wa Sheikh Yahya...!!
Tunahitaji point 9 tu kubeba ubingwa,Arsenal siwahofii kabisa
19th title tutaitangazia emirates...
Tunahitaji point 9 tu kubeba ubingwa,Arsenal siwahofii kabisa
Kwani Arsenal kushuka nafasi ya 3 au 4 ni jambo linalohitaji elimu ya nyota au ubashiri/Ushirikina? Mbona lipo wazi tu hata mtoto mdogo anajua kuwa Arsena hucheza UEFA CHAMPS baada ya kupitia TUTION/PRE Entry/SPECIAL SEAT/Pre qualification matches kwanza.
He he he he....sijapinga hilo,nimeunga mkono hoja yake....l.o.l
He he he he....sijapinga hilo,nimeunga mkono hoja yake....l.o.l
Huh? Unamaanisha Prince Africa of Zulu?
Yeah ni prince at least that's how they address him on the show.sikujua naye ni Prince...yule waliokutana UK....duh,kwa heri...huu wimbo wa demokrasia sio kabisa....sisi tutapateje nafasi ya kuwa ma princess kama wao wanachukuana wao kwa wao....Life is so UNFAIR...!!