Oxlade-Chamberlain
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 8,635
- 2,209
Mweeh!..hamkosi nuksi🙂) naomba usinzie hapo hapo na tushinde, ha ha
Mngekuwa mnaongoza ningesinzia lakini kwa jinsi inavyokwenda hapa ndio kwanza naongeza dawa lol.
Naona park ,evans na valencia wana warm up.park yule anaweza kukutoeni kwenye mechi kama hiii mgumu sana.park ukimpiga buti ndio kwanza anaongeza spidi lol.