Eqlypz
JF-Expert Member
- May 24, 2009
- 4,065
- 651
Mkuu kuna Edin Dzeko naona £30-35 mil naye hajafunga mpaka leo lol...! Aliletwa kuwasaidia kwenye EuropaHaya tutaona na yule shevchenko ll a.k.a Torres ndio kabisaaa atatafutia kocha wa kuweza kumtia .si unamjua bosi wenu? Lol