Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Well said mkuu, next game tunapiga na Totenham, kipigo kingine kinatungoja aisee, nina marafiki baadhi ni asernal fans na wengine ni Liverpool fans, itabidi niwafate niwaombe wanipe siri ya uvumilivu wao wa vichapo/trophless
Karibu
 
Tunachukia anaporudia makosa yale yale kila match, ebu nieleze sababu ya kutomchezesha Mata game ya Everton ni nini??? Nani asiyefaham Mata anapokua uwanjani anavyokua na msaada kwa timu?? Yeye anatuingizia Fellain, shame

Mata angecheza,mngeuliza ni kwanini Mkhytaryan achezi.
 
Ile juve ya msimu uliopita mpaka muda huu walikua na hali mbaya sana huku napoli akitakata tu kileleni ila kilichotokea baada ya msimu kuisha kila mtu aamini.....bado naamin pogba ana maajabu yake sitamu underrate kamwe
Kuuza jersey
 
Mi nashangaa wenzangu humu wanakuwaje wana vumilia vipigo kias kwamba wanatetea hali iliyopo!!?

Ubaya ni kwamba kwenye moira ukisha shuka na ukaruhusu kushuka huku unachekelea ni kazi sana kurudi

Chelsea -iliwachukua miaka 100
Liverpool- mwaka wa 27 huu
Man city- miaka 44
Aston vila na everton - zaidi ya miaka 40 mpaka leo ndio walikufa hivo.
Manchester united kabla ya SAF-mika 26
Arsenal-mwaka wa 12 huu.

Siku zote ukishuka ukachukulia normal, kurudi ni kazi sanaaa!!

Yaan nashindwa kuzoea hali hii, kwa sababu najua tukipotea haturudi leo tena.
daah umenichekesha sana
 
Yes! Its a revolution, i refuse to think in the way you want, i will think the way i want.
Toka siku ya kwanza hukunielewa, sidhani kama utakuja kunielewa na nina sikitika kwa hilo. kwa performance hii ya Mourinho bro utafika stage ya kunichukia nadhani, labda abadilike aanze kupata matokeo.
I detest very much the way mna ni treat kwa sababu ya kupishana mawazo. Hasa wewe. I detest very much watu kama wewe wanao taka kuweka namna ya moja tu ya kuwa shabiki wa man utd, wakati hakuna exactly model ya how to be a man utd fan.
Mwisho wa siku bado na kuhesabu wewe ni shabiki wa man utd tunaye pishana kabisa kabisa mawazo.
Wewe mwenzetu wewe
 
Mata angecheza,mngeuliza ni kwanini Mkhytaryan achezi.


Kuna mashabiki wa Blind
Kuna mashabiki wa Shaw
Kuna mashabiki wa Mata
Kuna mashabiki wa Carrick
Kuna mashabiki wa Herrera
Kuna mashabiki wa Bastian
Kuna mashabiki wa Rashford
Kuna mashabiki wa Mkhitaryan
Nafikiri only Fellaini ndio hana mashabiki

Mashabiki wa Manchester United wamepungua
 
Kuna mashabiki wa Blind
Kuna mashabiki wa Shaw
Kuna mashabiki wa Mata
Kuna mashabiki wa Carrick
Kuna mashabiki wa Herrera
Kuna mashabiki wa Bastian
Kuna mashabiki wa Rashford
Kuna mashabiki wa Mkhitaryan
Nafikiri only Fellaini ndio hana mashabiki

Mashabiki wa Manchester United wamepungua

Uko sahihi.
 
Kwahiyo hao uliowataja ni bora kuliko Jose Morinho?
What if wakiletwa na kufanya vibaya?
Hao nilio waongelea kwa sasa wanafanya vzuri kuliko Mourinho.

Wape benefit of doubt, na ikitokea wakafanya vibaya wataondoka pia, untill tutapata mtu sahihi tu.
Ila hii hali ya sasa si nzuri
 
Mi nataka huyo dogo anijibu. Nimesoma malalamiko yake sijaona yenye mashiko.
Ndo maana najaribu kumuuliza ili anipe mawazo yake.
Kama unanizungumzia mimi siyo dogo. Sema nimekuja juz tu hapa jf
Nafurahi kuwa huoni hoja zenye mashiko lakini hunilzamishi nifikirie hoja zako, na una niuliza tujadili hiyo ndio inavo takiwa, kwa sababu hata mimi naona mnaopinga idea zangu hamna hoja zenye mashiko.
 
We We arsenal mwenzangu wewe
Hamna mimi siyo mwana man utd ulio zoea kuwaona, mwana arsenal mbona sijawahi kanyaga jukwaa lenu? ni mwana man utd mwenye hasira kali na hali inayo endelea hivi sasa. Mi siwezi kukaa mika 12 sina kombe halafu nachekelea tuu hata hapa si unaona nnavo bishana na watu hizo ni mechi 14 tuu. Na bado , labda timu ibadilike
 
Hakuna kocha anayeweza kufix hiyo timu ndani ya miezi 4 hata akija SAF now itamshinda,kufukuza kocha is not the best option so far

In other words, hata SAF asinge retire, kwa mziki huu wa EPL naamini angekuwa ana suffer the same hotseat. Issue ni kuwa times have changed. Spurs ya leo sio ya jana. City ya leo sio ya jana. Chelsea ndo usiseme kabisaaa. Issue sio kocha. Ni mfumo. Kocha atimize wajibu wake na wachezaji wawe na njaa ya ushindi. Sio mnafunga goal moja mnarudi nyuma kuzuia. Then mnafanya utumbo kama Fala-in.
 
Hao nilio waongelea kwa sasa wanafanya vzuri kuliko Mourinho.

Wape benefit of doubt, na ikitokea wakafanya vibaya wataondoka pia, untill tutapata mtu sahihi tu.
Ila hii hali ya sasa si nzuri
Kwahyo hata Tuchel anafanya vzr kuliko jose?

Na unadhani tukianza timua timua kocha kila baada ya miezi minne tutafika kweli?
 
Kwahyo hata Tuchel anafanya vzr kuliko jose?

Na unadhani tukianza timua timua kocha kila baada ya miezi minne tutafika kweli?

Eeh Tuchel anafanya vizuri tu kuliko Mourinho ndugu.

si kila baada ya miez minne tutimue, nataka tumtimue huyu ambaye ana shindwa. Tumlete mwingine, akija ata kaa, as long as matokeo yatakuwa bora zaidi.
 
Hamna mimi siyo mwana man utd ulio zoea kuwaona, mwana arsenal mbona sijawahi kanyaga jukwaa lenu? ni mwana man utd mwenye hasira kali na hali inayo endelea hivi sasa. Mi siwezi kukaa mika 12 sina kombe halafu nachekelea tuu hata hapa si unaona nnavo bishana na watu hizo ni mechi 14 tuu. Na bado , labda timu ibadilike
Hasira zako hazitabadilisha matokeo uwanja mtaendelea kustrugle mpaka mpungue huko man u
 
Back
Top Bottom