Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Huo ni mtazamo wako lkn Ata timu iliyokania ushindi au kua bingwa watu hufanya examine kadhaa kuona vi characters vya ubingwa. So kwa Mourinho na his players they are not happy.
Man utd hawaja kamia ubingwa, ki fupi ndio hivo.
 
Wala hakuzingua

Hilo nitapinga mpk kesho. Km manager lazima usimamie huo U manager wako kwasababu km wakivurunda manager ndio Wa kulaumiwa. Ktk muktadha huu utasema alizingua? Hapana
Kwa sababu alicho kifanya kilileta negative impact, na hakikumsaidia yeye wala timu.
Alokosea na nadhani ni kitu ambacho huwa kina muuma sana
 
Sasa hebu ondoa mategemeo yako halafu weka uhalisia. Katika historia ya EPL mpya ni mara mbili tuu, timu ambayo ilikuwa ina point 21 kwa mechi 14 zilifanikiwa kuingia top 4.
Liva 2006/07
Arsena 2012/13.
Miaka mingine yoote ukiwa na hizo zinashindwa. Kufika top four, kwa saa hizi ni kujihadhari west brom na everton wasitupite.

Je Mou ana weza kufanya vizuri
Ndio, kama akibadilika kwa asilimia 90, anaweza, ila akiendelea hivi hivi, u 7-8 unamuhusu.
Unaleta hizo takwimwi lkn huelezi ni mweziupi timu ikiwa ktk hiyo hali haiwezi fika top four. Lkn Mimi nasema kwa huu muda yani hii December mpk may Utd anweza kua top four na ata kua bingwa. Maana Ata timu zingine pia hazifanyi vzr ukiondoa Chelsea.
 
Hiyo chelsea unaitenga vipi wakat inaongoza kwa point 3,tuu!!!

Nimsema kuwa timu ikiwa na point 21 kwa mechi 14, haina haja ya mwezi always huwa disemba hiyo tayar. Jamaa usha anza hadi kukataa data sasa.

Sijasema Utd hawez kuwa top four, ila nime sema ana hitaji mabadiliko ya asilimia 90 ya anacho kifanya now ili kuwa top 4. Tena akiwa top four ntafurahi tuu. Ila ubingwa ndio hachukui
 
Circumstances zao zote ni sawa, isipo kuwa quality ya timu ya Madrid iko juu. Pia kumbuka Zidane had 0 experience in international stage, huku mou akiwa tayari gwiji.

Tuchel, ukumbuke alitoka Mainz, alikita timu ni ya 8 aka ipeleka u pili, alifanya kazi kubwa sana mwaka jana, mwaka huu haja anza vizuri, alimpoteza Hummels na Mikhitaryan haikuwa loss ndogo ndio ni wa sita, lakini tayari ana point nyingi kwa mechi alizo cheza ukilinganisha na Mourinho. Tuchel akisema avumiliwe naweza kumuelewa. Na wala sio double standard hapo.
Tuchel avumiliwe na kakaa na timu toka msimu uliopita ila jose atimuliwe baada ya miezi minne? Alafu unasema sio double standard, ok sawa

Tuchel kacheza game 13 ana point 21 timu alizokutana nazo ni Augsburg, hertha berlin, leverkusen, mainz, freiburg, bayern et al

Mou kacheza game 14 ana point 21, tofauti ya mechi moja tu ila kakutana na Chelsea, man city, Liverpool, arsenal, everton, et al but mou anafanya vibaya atimuliwe after four months ila tuchel anafanya vzr na avumiliwe after more than ten months,

This is ice man
 
Huyu iceman naona ni shabiki uchwara tu
Hapana, si uchwara. Napenda character yake, he stands for what he believes!!

Thou simuungi mkono katika hili la kumfukuza Mou, it's too early kufanya hivyo..
 
Sasa hebu ondoa mategemeo yako halafu weka uhalisia. Katika historia ya EPL mpya ni mara mbili tuu, timu ambayo ilikuwa ina point 21 kwa mechi 14 zilifanikiwa kuingia top 4.
Liva 2006/07
Arsena 2012/13.
Miaka mingine yoote ukiwa na hizo zinashindwa. Kufika top four, kwa saa hizi ni kujihadhari west brom na everton wasitupite.

Je Mou ana weza kufanya vizuri
Ndio, kama akibadilika kwa asilimia 90, anaweza, ila akiendelea hivi hivi, u 7-8 unamuhusu.
Mkuu kama iliwezekana kwa hao, it is possible pia hata kwa Utd. Tatizo umekata tamaa mapema sana!.
 
Belo Nzi herrera madai ya huyu mdau ni sahihi?

Mi sioni km ni sahihi na Nina sbbu kadhaa za kusema hivyo lkn kwanza napenda kusikia toka kwenu
Mkuu mi nimeishia hapa, hii battle haina mshindi, kila mtu ana maoni yake na msimamo wake, to me jose is the right one for us na atatupeleka tulipozoea,

Acha hii battle waendeleze wengine
 
Tuchel avumiliwe na kakaa na timu toka msimu uliopita ila jose atimuliwe baada ya miezi minne? Alafu unasema sio double standard, ok sawa

Tuchel kacheza game 13 ana point 21 timu alizokutana nazo ni Augsburg, hertha berlin, leverkusen, mainz, freiburg, bayern et al

Mou kacheza game 14 ana point 21, tofauti ya mechi moja tu ila kakutana na Chelsea, man city, Liverpool, arsenal, everton, et al but mou anafanya vibaya atimuliwe after four months ila tuchel anafanya vzr na avumiliwe after more than ten months,

This is ice man
Acha kupika data Tuchel kacheza game 13 ana point 24, ana goal differemce 16

Mou kacheza game 14 ana point 21 goal difference 3. Hivi kweli huoni nani yuko kwenye hali mbaya hapo?

Sasa ligi yao ndio ilivo, kule hakuna man city wala chelsea, labda ungependa akutane na nani ili u justfy point zake.
Haya njoo klab bingwa
Tuchel ana ongoza group ambalo yuko na real madrid, mechi 5 ana point 13 goal difference 12.

Mourinho EUROPA
Ni wa pili kwenye kundi, kacheza mechi 5 ana point 9 na ana goal difference 6.

Haya hapo napo bado utasema Tuchel ana fanya vibaya kuliko Mou.
kati ya mimi na wewe nani ana double standard hapo?

Usimuonee Tuchel ana piga kazi bado.
 
Hiyo chelsea unaitenga vipi wakat inaongoza kwa point 3,tuu!!!

Nimsema kuwa timu ikiwa na point 21 kwa mechi 14, haina haja ya mwezi always huwa disemba hiyo tayar. Jamaa usha anza hadi kukataa data sasa.

Sijasema Utd hawez kuwa top four, ila nime sema ana hitaji mabadiliko ya asilimia 90 ya anacho kifanya now ili kuwa top 4. Tena akiwa top four ntafurahi tuu. Ila ubingwa ndio hachukui
Chelsea ninaitenga kwasababu ina viashiria vya tabia ya kuutaka ubingwa. Kwahiyo ninaitenga ktk Hili kwasababu aliweza kuongoza kwa point moja sasa hizo tatu mbona ni nyingi mno?

Ata km ni games 14 still Utd anaweza kua ktk top four na ata kua bingwa kwasababu Ata timu zingine nazo zina matatizo na hazifanyi vzr. LFC na City wako sawa na Utd tu. Tena ni bora ya Mourinho ana muda mfupi hapo Utd je huyo Klopp ????
 
Wewe ndio unasema hivyo. Wako wanashiriki ligi kwa malengo ya kua mabingwa. Iweje useme hawajakamia ubingwa?
Huwezi kuwa bingwa kupata point
9 kati ya zinazo takiwa 33..... Hiyo ni asilimia 27.

Huwezi kuwa bingwa kwa kuoata point 21 katika zinazo takiwa 42... Asilima 50 haijawahi tokea bingwa akashinda kwa asilimia 50.
So sioni kama wame kamia, basi na west brom ba everton wamekamia maana wana points 20, nao wana weza kuwa mabingwa, mathematically , ila technicaly hawawezi hapo.
 
Mkuu mi nimeishia hapa, hii battle haina mshindi, kila mtu ana maoni yake na msimamo wake, to me jose is the right one for us na atatupeleka tulipozoea,

Acha hii battle waendeleze wengine
Tehe tehe tehe huyu mdau atatulia tu....

Km hamjui Mou atamjua tu soon.
 
Chelsea ninaitenga kwasababu ina viashiria vya tabia ya kuutaka ubingwa. Kwahiyo ninaitenga ktk Hili kwasababu aliweza kuongoza kwa point moja sasa hizo tatu mbona ni nyingi mno?

Ata km ni games 14 still Utd anaweza kua ktk top four na ata kua bingwa kwasababu Ata timu zingine nazo zina matatizo na hazifanyi vzr. LFC na City wako sawa na Utd tu. Tena ni bora ya Mourinho ana muda mfupi hapo Utd je huyo Klopp ????
Hata city na Arsenal na Liva wana viashiria hivo, ofcoz liva kidogo ana mapungufu ya viashiria. Chelsea wako vizuri ila tuta watenga at least wakiongoza kwa point 5.

Man utd naombea iwe top 4,, japo najua kwa inavo cheza hivi haiwezi kuwa top 4 na matokeo ni shahidi wa nnacho kiongea.
 
Tunajadili mimi na wewe, hii tabia yenu ya kuwaita kina Nzi, mmejizoesha vibaya, hao ni watu kama sisi tu wanauwezo wa kuwa wrong. Tena kwa sasa wako dead wrong hata siwasikilizi.Duuh!!

Twende wewe kama si kweli kwa nini ni uwongo hapo!?
Alafu mkuu nimeona una mu-attack sana Nzi toka mwanzo kwamba anajiona ndio yeye, mkuu hili jukwaa tuna heshimu michango ya kila mmoja wetu pia huwa tunatambua uwepo wa wakongwe/malegend wa hili jukwaa. Nzi, Belo, RRONDO, dada everlenk, Mfarisayo ni baadhi ya wakongwe wa hili jukwaa tunatambua uwepo wao na tunaheshimu michango yao pia, pale ambapo hukubaliani na hoja yake unapinga kwa hoja mwisho wa siku kila mtu atabaki na msimamo wake na kile anachokiamini, sidhani kama kuna mtu alishatangaza kuwa yeye ni kiranja au kiongozi wa hili jukwaa, ila ni ile kuutambua uwepo wa wakongwe wetu ila hii haizuii kupingana na hoja zao kama unahoja tofauti.

Embu tuwekeni personal issue pembeni n tujadili mpira
 
Huwezi kuwa bingwa kupata point
9 kati ya zinazo takiwa 33..... Hiyo ni asilimia 27.

Huwezi kuwa bingwa kwa kuoata point 21 katika zinazo takiwa 42... Asilima 50 haijawahi tokea bingwa akashinda kwa asilimia 50.
So sioni kama wame kamia, basi na west brom ba everton wamekamia maana wana points 20, nao wana weza kuwa mabingwa, mathematically , ila technicaly hawawezi hapo.
Basi tulia mpk january utaniambia Utd yuko wapi!
 
Tehe tehe tehe huyu mdau atatulia tu....

Km hamjui Mou atamjua tu soon.
Napenda Mou ani prove wrong (japo najua ni kazi sana kufanya hivo) kwani ntafurahia ushindi wa timu yangu.
Simuombei mabaya ila najua anayafanya mabaya na sioni improvement.
Akiweza ntakuwa wa kwanza hapa jukwaani kumpongeza na kushangilia.
Maana yake at the end of the day lazima upande mmoja wawe wrong.
 
Acha kupika data Tuchel kacheza game 13 ana point 24, ana goal differemce 16

Mou kacheza game 14 ana point 21 goal difference 3. Hivi kweli huoni nani yuko kwenye hali mbaya hapo?

Sasa ligi yao ndio ilivo, kule hakuna man city wala chelsea, labda ungependa akutane na nani ili u justfy point zake.
Haya njoo klab bingwa
Tuchel ana ongoza group ambalo yuko na real madrid, mechi 5 ana point 13 goal difference 12.

Mourinho EUROPA
Ni wa pili kwenye kundi, kacheza mechi 5 ana point 9 na ana goal difference 6.

Haya hapo napo bado utasema Tuchel ana fanya vibaya kuliko Mou.
kati ya mimi na wewe nani ana double standard hapo?

Usimuonee Tuchel ana piga kazi bado.
Umesahau kwamba hata moyes alitufikisha robo fainal ya uefa ila kwenye ligi alifeli
 
Back
Top Bottom