Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kwa hili nakubaliana nawe...ila siku patience na team stability (kwa United) havizingatiwi kabisa...Moyes could have been a long term project...sasa baada ya 14 games, watu humu wanataka Mourinho afukuzwe, really?
Tunachukia anaporudia makosa yale yale kila match, ebu nieleze sababu ya kutomchezesha Mata game ya Everton ni nini??? Nani asiyefaham Mata anapokua uwanjani anavyokua na msaada kwa timu?? Yeye anatuingizia Fellain, shame
 
imagine sasa....unadhani kwa TREND HII mourinho ataipata TOP 4?

Confidence ya timu inakuwa chini kadiri mnavyopata matokeo HASI

nikwambie tu NEXT WEEK na SPURS hiyo ni big TEST kwenu japokuwa mtakuwa OT

mnaweza mkaambulia sare ingine au mkafungwa jambo ambalo litawamaliza kabisa

daah hali sio shwari mazee
Hii game ndio itakua ni kipimo changu cha mwisho kwa Mou, sioni dalili ya kupona kabsa
 
Well said mkuu, next game tunapiga na Totenham, kipigo kingine kinatungoja aisee, nina marafiki baadhi ni asernal fans na wengine ni Liverpool fans, itabidi niwafate niwaombe wanipe siri ya uvumilivu wao wa vichapo/trophless
Mi nashangaa wenzangu humu wanakuwaje wana vumilia vipigo kias kwamba wanatetea hali iliyopo!!?

Ubaya ni kwamba kwenye moira ukisha shuka na ukaruhusu kushuka huku unachekelea ni kazi sana kurudi

Chelsea -iliwachukua miaka 100
Liverpool- mwaka wa 27 huu
Man city- miaka 44
Aston vila na everton - zaidi ya miaka 40 mpaka leo ndio walikufa hivo.
Manchester united kabla ya SAF-mika 26
Arsenal-mwaka wa 12 huu.

Siku zote ukishuka ukachukulia normal, kurudi ni kazi sanaaa!!

Yaan nashindwa kuzoea hali hii, kwa sababu najua tukipotea haturudi leo tena.
 
Sija li discredit goli, ninacho sema lilikuwa ni kosa la kipa na si ufundi wa Ibra ulio sababisha goli. Tuna option mbili tuu
1.Mourinho afukuzwe.
Yeah najua mtasema mapema mnoo lakini mapema ndio vizuri, mou mpaka sasa hana kikosi cha kwanza, haja weza kufanya sub za maana, kashinda mechi chache sana, pia kumbuka chelsea walichelewa kumfukuza lakini haku improve, nadhan Mou wa kuanzia mwaka 2013, mpira ulisha anza kumpotea.

Mechi 11 za mwisho za Mou hizi

1-1, 1-1, 1-1 3-1, 0-0, 0-4, 0-0, 1-1, 4-1, 1-3 na1-2.

9 points out of a possible 33 ..... 27.3%
For now yeye ndio kocha mbovu kuliko wote tangu babu Alex astaafu.
.Au
2.Mou abaki lakin afanye yafuatayo.
-Pogba haja fiti kwenye timu atafute namna ya kumfanya afit ambayo ni kutafuta mfumo utakao muwezesha Pogba acheze na ma mido wa 2, ambao kati ya hao lazima mmoja awe na kasi mfano angalia alipo kuwa akicheza yeye, vidal na pirlo, mechi nyingi anazo cheza yuko slow si lazima acheze kama hafit kwenye mfumo au badilisha mfumo
-awatumie Basti na Schneiderlin, mechi nyingi tuu zimeonesha umuhim wao. Pia kuna madogo kama kina Tuanzebe na TFM awatumie, uzuri wa LvG tulikuwa tunafeli lakin at least unaona anatumia vijana. Huyu wa sasa hawatumii hao madogo na ana zidi kuboronga kuloko Sir LvG
-timu haina discpline na morali, ni kazi yake hiyo kufanya morali na nidhamu viwepo mfano. Angalia jinsi tulivyo fungwa magoli msimu huu kwa dakika.
Watford (83'+90'), Arsenal (89'), Everton (89'), Fenerbache (83'), Stoke (82') and Feyenoord (79').

Chelsea (1'), Fenerbache (2') and West Ham (2').
Timu ina onesha hapo ni no self-control, no discipline, no awareness, hili ni kosa lake awaande wachezaji wakabiliane nalo yeye ndio kiongozi.
-aache kuwapendelea Pogba na Ibra, anaweka matabaka, hasa Ibra hata leo ilitakiwa ibra apigwe sub, pia asiwa treat hao kama ndio wana stahili kupata game time kuliko wengine, kama ameweza kumuacha Blind na kuanza na Darmian alishindweje ku msub Ibra ambaye kuna Tym alichoka kabsa!? Matabaka yanavunja umoja.
-Mikhi ni mchezaj muhim amtumie vzuri kwa sasa hafanyi hivo bado.

Yako Mengi sana lakin hayo ni baadhi ya mambo ya kufanya la si hivo tutakuwa tunafungwa mpaka tuzoee.
NB: kwann alimuweka Mata nj'e wakati Mata yupo form, Juan Mata is creative player on the ground, he can assist or score
 
Tunachukia anaporudia makosa yale yale kila match, ebu nieleze sababu ya kutomchezesha Mata game ya Everton ni nini??? Nani asiyefaham Mata anapokua uwanjani anavyokua na msaada kwa timu?? Yeye anatuingizia Fellain, shame
Nakuelewa braza. Ndiyo maana nikasema José ni binadamu, hivyo kufanya makosa hakuepukiki. SAF had similar days too. Ingawa kwa picha kubwa, kusema ukweli kocha ndiyo yupo kwenye nafasi kubwa ya kujua nani aanze first 11, kwani anawaona wachezaji kwenye mazoezi. Sisi kama mashabiki tunatumia hisia zetu tu na jinsi mchezaji fulani anavyocheza.

Siamini kama suluhisho ni kumfukuza José. Timu imeshafanya makosa ya kuwatimua Moyes na LvG. Sasa mashabiki tuwe wavumilivu na José apewe muda wa kuifanya timu itulie.
 
NB: kwann alimuweka Mata nj'e wakati Mata yupo form, Juan Mata is creative player on the ground, he can assist or score
I certainly know Mata's contributions to the team. But, don't make it like he has helpes the team to win in all the matches that he has played!
What makes you think you are in a better position to select players who make the first 11, than José?
 
Sijawahi kusema kuwa mourinho hakuna alicho badilisha kuliko LvG, kipo nacho ni tempo, na amepunguza kidogo back passes. Si mcredit kwenye kuongeza shots kwa sabab shots zikiwa tame hazina maana bora upige shot moja ufunge kuliko kupiga shot 12 halafu hufungi hata moja. Kwa hiyo hapo namsifia LvG kwa kuwa accurate, few shots na few goals lakini alikuwa ana ondoka na points. So Mou kafanya improvement? Kwa tafsiri yangu ni hapana kafanya changes, changes zenye kuleta matokeo ndio zinaitwa improvements. Other wise ikitokea mambo yakaja kuwa mazuri ntaziita improvements. Na kama shabiki namuombea aweze kuonesha improvements.

Nimesema Mou hawezi kumaliza vizuri kwa kuangalia historical facts kaka, nimesema Moyes alianza vibaya hakumaliza vizuri, mwaka jana yeye mwenyewe Mou alianza vibaya hakumaliza na chelsea. Tangu ligi ya EPL mpya ianzishwe miaka ya 90, ni timu mbili tuu zilikuwa na point 21 baada ya mechi 14 na kufanikiwa kumaliza top 4, nayo ni Liverpool mwaka 2006/07 na Arsenal mwaka 2012/13.
Sasa nikisema Mou hawezo ku turn back odds zinaonesha hivo siyo mimi tuu. Whats wrong with you guys!!? Najitahidi kila ninacho ongea at least nilete ushahidi ila mna dismis!
Kazi yangu mimi kama mshabiki sio kukubaliana timu yetu kufukuzana na watford na westbrom kwenye table, kama wewe ina ku please kuona hivo may be its okey, mi sina tatizo na wewe sisi sote ni mashabiki wa timu moja tuta vumiliana kama hivi.
Bro nina wasiwasi wewe SIO shabiki wa Manchester United. Umekuja tu kuleta mtafaruku na mivurugano ya kimawazo kwenye hili jukwaa (Don't ask me why).
 
Mpaka sasa Napenda atoke.

Ila akibaki (jambo ambalo ndio ltatokea) napenda afanikiwe. Aspo fanikiwa ntampinga wazi wazi kabsa kama ninavo fanya now mkuu.

Kama akifukuzwa unataka nani achukue nafasi yake?
 
Duh! Scholesy kaua kabisa juu ya Fellaini...ati Fellaini ni king'ang'anizi kama harufu mbaya ya kijambo kwenye lift
 
Attachments

  • IMG_3288.JPG
    IMG_3288.JPG
    55.1 KB · Views: 26
Bro nina wasiwasi wewe SIO shabiki wa Manchester United. Umekuja tu kuleta mtafaruku na mivurugano ya kimawazo kwenye hili jukwaa (Don't ask me why).

I take my self as new kid on the block, nimekuja nimekuta mna ka status quo kenu, mna namna yenu ya kufikiria, kuna watu wenu mnawachukulia kama ndio role models wa uchambuzi hapa.
Nimekuja na idea mpya, nimekuja na namna yangu ya kufikiri inayo pishana na nyie, ni kama nimevuruga utamaduni wenu ndio maana hata wewe unaona kama naku disturb.
By the way who are you to say mimi siyo shabiki wa man u? Then unaniwekea conditions nisikuulize why!!?
Ruhusuni fikra mpya, tuache kudictate mawazo ya watu, siku za mwanzo naingia hapa nilisema, kwenye hili jukwaa hakuna shibiki bora zaid ya mwenzie, tunatofautiana mawazo, lakin sote tunaungana kuombea timu yetu ifanikiwe.
Nini kina kufanya wewe ujione ni shabiki wa man utd kuliko mimi!? Ukichunguza kwa makini utakuja kujua kuna ka status quo kalikuwepo hapa ndio nime kuja kukavuruga
Well am for it, ntatoa mawazo yangu kadri niwezavyo. Kwani tukipishana mawazo ni dhambi? Jamii isiyo na mawazo mbadala huwa haindelei mkuu.

Hakuna shabiki bora kuliko wengine sote tunaipenda man utd sote tunaitakia mafanikio.
 
Kwann Mou hakumchezesha Juan Mata? Kumbuka Mata anapokua uwanjani uwa ana offer vitu vingi! asiposhinda uwa ana assist, isitoshe Mata msimu huu kama ManOfTheMatch game kibao.
Mou akiendelea kwa style hii maisha yatamshinda pale OT

Sio kila game lazima aanze Mata last week Mkhitaryan alicheza vizuri kocha alikuwa sahihi kumwacha Mata ili Mikhi aanze kupata rhythm ili aweze kuadapt kwenye EPL although alipaswa kumuingiza Mata second half.Kumbuka ni sisi mashabiki pia tulikuwa tunalalamika kwa nini hawapangi Carrick,Mkhitaryan na Martial

Mata amecheza mechi nyingi na United ikafungwa so hakuna guarantee kwamba akicheza timu inashinda.

Fellaini ndio mchezaji anayechukiwa na mashabiki wa United mimi ni mmojawapo lakini ajabu ni kwamba makocha wote kuanzia Moyes,LVG na sasa Mourinho wao wanampenda kuna kitu wao as Manager wanaona kinawafaa
 
I take my self as new kid on the block, nimekuja nimekuta mna ka status quo kenu, mna namna yenu ya kufikiria, kuna watu wenu mnawachukulia kama ndio role models wa uchambuzi hapa.
Nimekuja na idea mpya, nimekuja na namna yangu ya kufikiri inayo pishana na nyie, ni kama nimevuruga utamaduni wenu ndio maana hata wewe unaona kama naku disturb.
By the way who are you to say mimi siyo shabiki wa man u? Then unaniwekea conditions nisikuulize why!!?
Ruhusuni fikra mpya, tuache kudictate mawazo ya watu, siku za mwanzo naingia hapa nilisema, kwenye hili jukwaa hakuna shibiki bora zaid ya mwenzie, tunatofautiana mawazo, lakin sote tunaungana kuombea timu yetu ifanikiwe.
Nini kina kufanya wewe ujione ni shabiki wa man utd kuliko mimi!? Ukichunguza kwa makini utakuja kujua kuna ka status quo kalikuwepo hapa ndio nime kuja kukavuruga
Well am for it, ntatoa mawazo yangu kadri niwezavyo. Kwani tukipishana mawazo ni dhambi? Jamii isiyo na mawazo mbadala huwa haindelei mkuu.

Hakuna shabiki bora kuliko wengine sote tunaipenda man utd sote tunaitakia mafanikio.
Duh! Yaani status quo with fake IDs?!? I'm done with you boy! So, take over the thread! You have succeeded in making a revolution by challenging the status quo!
 
Duh! Yaani status quo with fake IDs?!? I'm done with you boy! So, take over the thread! You have succeeded in making a revolution by challenging the status quo!
Yes! Its a revolution, i refuse to think in the way you want, i will think the way i want.
Toka siku ya kwanza hukunielewa, sidhani kama utakuja kunielewa na nina sikitika kwa hilo. kwa performance hii ya Mourinho bro utafika stage ya kunichukia nadhani, labda abadilike aanze kupata matokeo.
I detest very much the way mna ni treat kwa sababu ya kupishana mawazo. Hasa wewe. I detest very much watu kama wewe wanao taka kuweka namna ya moja tu ya kuwa shabiki wa man utd, wakati hakuna exactly model ya how to be a man utd fan.
Mwisho wa siku bado na kuhesabu wewe ni shabiki wa man utd tunaye pishana kabisa kabisa mawazo.
 
Go on boy...the floor is ALL YOURS.

NB: I'm way grown up kumchukia mtu ambaye anatumia fake ID. I will be insane to do so. So, no hard feelings boy. Peace out.
 
Go on boy...the floor is ALL YOURS.

NB: I'm way grown up kumchukia mtu ambaye anatumia fake ID. I will be insane to do so. So, no hard feelings boy. Peace out.

Okey young man
Its settled i'll be here

NB:am way grown up, kujibizana na mtu anayetumia fake Id, i will be an idion to do so. so no hard feelings boy. Peace out
 
Hii ishu ya kupeana muda ni uchizi mbona conte hajapewa muda na ana perform tatizo makocha wote wanajifanya wanajua mpira sana na hawataki kubadilika misimamo yao...... Pep anastruggle ila unaona ana nia ya kujifunza.
Tunapenda timu ila still kocha inabidi aonyeshe passion na wachezaji watafuata tu
 
Hakuna kocha anayeweza kufix hiyo timu ndani ya miezi 4 hata akija SAF now itamshinda,kufukuza kocha is not the best option so far
Mi nataka huyo dogo anijibu. Nimesoma malalamiko yake sijaona yenye mashiko.
Ndo maana najaribu kumuuliza ili anipe mawazo yake.
 
Back
Top Bottom