Yes mkuu
Unaweza kuifananisha timu yetu ya mwaka jana na timu ya Rodgers!!?
Rodgers alicheza meche 6 akawa ana point 8.
You guys mnataka mseme LVG was a disaster kama Rodgers!!!?
Mourinho hakutukuta kwenye crisis, alitukuta tukiwa tume underperform tuu .
Ipo kwenye deep underperformance karibu kabisa na crisis.Manchester ya jose ina underperform au ipo kwenye crisis??
[QUOTE="Iceman 3D, post: 18769793, member: 385104" bora upige shot moja ufunge kuliko kupiga shot 12 halafu hufungi hata moja .
Hawa jamaa wako encouraged na kushinda mechi 2, kati ya 11!!!
No wonder klabu yetu haifanyi vzuri.
Even the hierarchy have to be changed for now
Unayoongea ni mambo ya ajabu sana ndio maana Nzi sometime anakuuliza una umri gani na kwenye modern football sidhani kama mashabiki dizaini yako wataweza ku-survive.Tangu mwanzo naona unaenda mbele hatua moja then unarudi nyuma hatua 6 na huwezi kujadili hoja moja ukamaliza unahamia hoja nyingine
Mwanzo ulisema hakuna any positive alicholeta Mourinho baadae ukabadilika ukasema kaongeza tempo
Naomba niishie hapa maana hayo unayoanza siyaweziKwanza nakuheshimu sana
Pili huyo Nzi mnaye m refference hapa, who the hell is he!!? Ndio wikipedia yenu nini!!?
Huwa napoteza heshima kwa mtu anaye attack personality ya mtu, hata nikiwa na miaka 7 inahusiana nini na nilicho zungumza!!?
Hivi positive na changes ni neno moja? Nilisema hakuna kitu positive alicho leta.
Now nimesema amefanya changes na changes hazina positive results, labda kama lugha imekuchanganya, mimi sijawahi ku reverse maoni yangu. Kwa hiyo wewe unaona tempo ni positive mimi sioni, soma maoni yangu kwa Herrera ambaye pia namhushemu sana hapa. Aliniuliza kuhusu improvement na nime mwambia kuna changes ila hakuna improvements. Whats wrong with you kaka!! Soma comment yangu vzuri.
Hoja gani niliyo hama!? nikisha itolea maelezo yangu, naendelea na jambo jingine. Sihami nikihama maana yeke siamini nilicho ongea
Ukitaka sasa wewe andaa mjadala wako sema leo tuzungumzie hoja hii tu, ntakuwa tayari kwa hilo.
Umesema pia naongea mambo ya ajabu!!, hebu nitajie angalau jambo moja la ajabu. La si hivo ntakuona unataka kuni attack bila sababu, jambo ambalo na mimi naliweza kufanya attack bila sabbu.
*nilisha toa taarifa mi siko hapa kufanya mnavo taka nyie ntatoa maoni yangu ninavo taka mimi, anaye taka mjadala ntajadili anaye taka tushambuliane ntamuacha kwa kuwa sipendi kugombana na shabiki mwenzangu, ila ikizidi i will strike back pia.
Nnacho amini sisi wote ni mashabiki wa timu moja ambayo now inafanya vibaya, lazima mawazo yapishane hkuna namna.
Kwanza nakuheshimu sana

Ipo kwenye deep underperformance karibu kabisa na crisis.
Mpaka sasa Napenda atoke.Kwahiyo unataka Jose Morinho afukuzwe au abaki?
Zina lean kwenye negative kwa sababu hazina impact yeyote kwenye matokeo.Hizo changes ziko positive/negative?
Si kweli kuwa nimeyaanza, nilikuwa najibu msg yako.Naomba niishie hapa maana hayo unayoanza siyawezi
Well said mkuu, next game tunapiga na Totenham, kipigo kingine kinatungoja aisee, nina marafiki baadhi ni asernal fans na wengine ni Liverpool fans, itabidi niwafate niwaombe wanipe siri ya uvumilivu wao wa vichapo/trophlessUnaongea ukweli, Mou alibweteka na ushindi wa juzi wa 4 dhido ya west ham, that was just EFL cup!, na hata hivo Wenger jana kampiga west ham huyo huyo 5 tena kwao. This means hata juzi tuli underperform.
Kila siku ana jitetea bahat mbaya, how comes iwe bahat mbaya mech zote hizo, thats a crap.
Kama leo ndio nimeona hana tactics kabsaa, Kipindi cha kwanza tulicheza afadhali siyo vizuri na goli lenyewe ibra kafunga ni kipa alifanya kosa kiaina tu, kwa mfano mashambulizi yale ya mwishoni ingewezekana hata tungepigwa 2-1, then anatoka Mikhi ana ingia Fellaini, duuh!!
Mou apewe muda lakin kama kila siku hata admit makosa ana sema tuu we were unlucky hapo nadhani hana maana. Na nakumbuka Moyes alifanya vzuri kuliko yeye japo alikuwa na wachezaj wabovu na wasio mpenda kabsa. pia Mou ana lipwa pesa nyingi ili alete matokeo not otherwise.
Daah! Mkuu nna mengi ya kuandika sema bas tu.
Punguza munkari mkuu, mbona Liverpool na Asernal wamevumilia miaka mingi trophless na bado wanaendelea kuwa wavumilivu tuBora mechi ilivyoisha nilizima simu maana kwa hasira nilizokuwa nazo ningeingia JF ningekula BAN.
Lugha ya mzungu iyo mkuu, mim ni mchaga wa machameMkuu hii ni lugha gani? Au na wewe ni kama juma?
Kwann Mou hakumchezesha Juan Mata? Kumbuka Mata anapokua uwanjani uwa ana offer vitu vingi! asiposhinda uwa ana assist, isitoshe Mata msimu huu kama ManOfTheMatch game kibao.Sidhani kama uliangalia mpira Mkhitarian,Pogba wote kipindi cha pili walichemsha hao ndio walipaswa kutolewa na tatizo sio kuwatoa but walioingia ndio hawakuwa na msaada,Mourinho alipaswa kubadili formation na kumuingiza Mata atoke Pogba/Mkhitaryan